Viongozi wa Dunia kumiminika Tanzania, Rais Samia Nimekuvulia Kofia. Sasa ni Zamu ya "Dotto Biteko wa China"

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,125
49,846
Mwandiplomasia namba 1 wa Tanznaia na Rais wa JMT Samia SH anazidi kujipambanua kama Kiongozi mzito na mashuhuri kwenye nyanja ya Diplomasia Duniani akiiongoza Diplomasia ya Tanzania kwenda viwango Vingine.

Kama ilivyokuwa miaka 3 Iliyopita Kwa Mamio ya Viongozi wakubwa wa Dunia Kumiminika Tanzania,pazia la Diplomasia ya Tanzania Kwa mwaka 2024 linaenda kufunguliwa rasmi January hii Kwa ziara ya Naibu Waziri Mkuu wa China.

View: https://twitter.com/ChineseEmbTZ/status/1745835542435004788?t=u9rwk3QCT9ZzBvVE4umrxA&s=19

My Take
Kadiri mnavyomchukia ndivyo anazidi kuchanja mbuba.Heshima za hivi hupewa Viongozi wachache sana.Hongera sana Rais Samia,nimekulia Kofia.

View: https://www.instagram.com/p/C2XNe-Tt6JF/?igsh=eHdpcm4zbWt0N2I=
 
Inawezekana wewe ni mpumbavu mmja ambae hujui kitu.

Haikuwa issue wakati ujione wao ulikuwa Neema Kwa Tzn?
Hizi akili za wapi za kutegemea neema kutoka Kwa Wageni? Yaani sisi hatuna akili Wala uwezo wowote wa kupanga mambo yetu Hadi mgeni aje ndo tupate neema? Mleta mada jinga kabisa
 
Mwandiplomasia namba 1 wa Tanznaia na Rais wa JMT Samia SH anazidi kujipambanua kama Kiongozi mzito na mashuhuri kwenye nyanja ya Diplomasia Duniani akiiongoza Diplomasia ya Tanzania kwenda viwango Vingine.

Kama ilivyokuwa miaka 3 Iliyopita Kwa Mamio ya Viongozi wakubwa wa Dunia Kumiminika Tanzania,pazia la Diplomasia ya Tanzania Kwa mwaka 2024 linaenda kufunguliwa rasmi January hii Kwa ziara ya Naibu Waziri Mkuu wa China.

View: https://twitter.com/ChineseEmbTZ/status/1745835542435004788?t=u9rwk3QCT9ZzBvVE4umrxA&s=19

My Take
Kadiri mnavyomchukia ndivyo anazidi kuchanja mbuba.Heshima za hivi hupewa Viongozi wachache sana.Hongera sana Rais Samia,nimekulia Kofia.

unavyo mchukia ndivyo anavyo pendwa zaidi hakika atatuvusha salama 🌹
 
Mwandiplomasia namba 1 wa Tanznaia na Rais wa JMT Samia SH anazidi kujipambanua kama Kiongozi mzito na mashuhuri kwenye nyanja ya Diplomasia Duniani akiiongoza Diplomasia ya Tanzania kwenda viwango Vingine.

Kama ilivyokuwa miaka 3 Iliyopita Kwa Mamio ya Viongozi wakubwa wa Dunia Kumiminika Tanzania,pazia la Diplomasia ya Tanzania Kwa mwaka 2024 linaenda kufunguliwa rasmi January hii Kwa ziara ya Naibu Waziri Mkuu wa China.

View: https://twitter.com/ChineseEmbTZ/status/1745835542435004788?t=u9rwk3QCT9ZzBvVE4umrxA&s=19

My Take
Kadiri mnavyomchukia ndivyo anazidi kuchanja mbuba.Heshima za hivi hupewa Viongozi wachache sana.Hongera sana Rais Samia,nimekulia Kofia.

Mbona kwa kikwete wameahakuja akina Obama na rais mwenyewe wa china tuliambilia Nini zaidi ya kuiba madini tu
 
Mbumbumbu nyie kama hamjui kitu muwe mnauliza.

Tuliambulia vingi sana,Barabara za Tunduma -Swax,Songea-Masasi,Umeme Kigoma nk si sehemu TU ya tuliyoambulia.
 
Mwandiplomasia namba 1 wa Tanznaia na Rais wa JMT Samia SH anazidi kujipambanua kama Kiongozi mzito na mashuhuri kwenye nyanja ya Diplomasia Duniani akiiongoza Diplomasia ya Tanzania kwenda viwango Vingine.

Kama ilivyokuwa miaka 3 Iliyopita Kwa Mamio ya Viongozi wakubwa wa Dunia Kumiminika Tanzania,pazia la Diplomasia ya Tanzania Kwa mwaka 2024 linaenda kufunguliwa rasmi January hii Kwa ziara ya Naibu Waziri Mkuu wa China.

View: https://twitter.com/ChineseEmbTZ/status/1745835542435004788?t=u9rwk3QCT9ZzBvVE4umrxA&s=19

My Take
Kadiri mnavyomchukia ndivyo anazidi kuchanja mbuba.Heshima za hivi hupewa Viongozi wachache sana.Hongera sana Rais Samia,nimekulia Kofia.

Punguza mipasho kama shoga wa Magomeni.
 
Back
Top Bottom