ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,042
- 49,727
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa.Bandari ya Dar imezidi kujaa meli zikipanga foleni Ili kusubiria kushusha mzigo.
Huu ni ushindi mkubwa Kwa sera za Rais Samia za kukuza biashara na Kuimarisha Ushirikiano wa Kimataifa Kupitia diplomasia ya Uchumi.
Wale waliomtabiria kwamba atashindwa na blaa blaa zingine Wanazidi kuaibika kwani Kwa miaka 3 mfululizo Bandari ya Dar imezidi kuweka rekodi na kujivunja.
Mathalani mwaka 2021/22 Jumla ya tani mil.19 zilisafirishqa Kupitia Dar Port ,mwaka uliofiatoa Jumla ya tani mil.2022/2023 Jumla ya tani mil.21 zilihudumiwa na Mwaka Jana 2023/2023 Jumla ya tani mil.23 ilihudimiwa.
Ambapo Sasa Kwa mwaka huu wa 2023/2024 Bandari ya Dar Pekee inatarajia kuhudumia tani kati ya mil.24-25 by June 2023/2024.Hapo hatujajumlisha Bandari zingine ambapo inatarajia Kwa pamoja zitahudumia zaidi ya tani Milioni 30.
Hongera sana Rais Samia,wanaokuchukia na kukuonbea mabaya wanaaibika wao maana Mungu anatembea na wewe Kwa maslahi ya Watanzania.
Hongera sana Management nzima ya TPA,walau awamu hii tunaona matokeo as opposed to awamu zilizopita kulikuwa na malalamiko mengi yasiyo na msingi.
Chini ya miaka 3 umeandika kitabu kizuri sana Cha historia kwenye sekta zote.Kazi iendelee 👇
View: https://youtu.be/PjlCZw5hznQ?si=Twdd5lPYFAkuhNXv