Kampuni za Asia kupewa tenda nyingi Afrika ni janga lingine

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,375
Miaka ya karibuni kumekua na wimbi kubwa la kampuni za asia kushinda tender hasa za barabara hii ni habari mbaya sana kwa sababu ubora wa miradi wanayojenga kampuni za asia ni mdogo sana baada ya miaka kadhaa tayari unakuta zimeanza kuharibika.

Sheria ya mshindi wa tender lowest bidder itazamwe upya sababu kuna kampuni ni kweli wana lowest bidder ila baada ya kuanza kazi wanatengeneza vitu vyenye ubora mdogo sana mfano mzuri ni mwendokasi ya mbagala tayari imeshaanza kuchoka huku bado haijaanza kutumika.

Hata mwendekasi ya buguruni tayari nyufa zinaonekana huku mradi ukiendelea na ujenzi

Viongozi wa afrika muwe na huruma na hela za wananchi wapeni tender kampuni ambazo zitatengeneza vitu vitakavyodumu hata miaka 50
 
Back
Top Bottom