Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Awamu ya sita ilianza mwaka 2021 baada ya Rais magufuli kufariki.
Ilianza kwa mbwembwe na huku mambo yakionekana yanaenda.
Kwanini kadri siku zinavyo kwenda , mambo yanazidi kuzorota?
Watalaam wanasema, hii inatokana na kwamba, miaka ya mwanzo ya awamu ya sita walitembelea nguvu ya Magufuli, baada ya miaka miwili hivi nguvu ya magufuli imepungua sasa na sasa ndio tunaonja awamu ya sita ambayo mambo mengi yanazorota sana.
Mfano, umeme kukatika katika haijawahi kutokea kwa kiwango hiki toka tupate uhuru ambapo hatuna umeme wakati wa mvua, na cha ajabu hakuna mwenye jawabu kila mtu anaongea tuu.
Inaonekana kuna ombwe la kiuongozi na kunahitajika adjustment ya haraka kupata kiongozi/ viongozi wa nchi watakao tutoa kwenye hali hii.
Nchi imekosa mwelekeo, kila mtu anafanya anavyo taka, kila mtu analalamika hadi mkuu wa nchi, taasisi za serikali na mihimili haina msaada, huduma za jamii zimezorota kiasi kwamba hata akitokea kichaa akasema anatatua migogoro ya ndoa watu wanamkimbilia .
Tuna miaka miwili mbele na awamu ya sita, nini kifanyike, hatuwezi kuendelea kukaa gizani kila siku kwa sababu tuu kuna viongozi wanajilazimisha kuwa viongozi?
Tunwajiri fundi kwa kigezo cha skills alizo nazo, vigezo vingine vitatugharimu.