Rais akielekeza vyombo vya dola umeme usikatike hautakatika kizembe; naamini wanahitaji maelekezo tu wakamate walanguzi

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Hii nchi miaka mingi wizara ya Nishati imekuwa ikihujumiwa pale anapoteuliwa Waziri mwenye malengo ya madaraka ya juu zaidi ya uwaziri.

January hakupenda kuondolewa kwenye nafasi ile kwa sababu aliondoka akiwa amefeli . Doto amepewa hii nafasi na imemfanya aonekane kama Waziri asiye na mikakati wala malengo. Ni wizara ambayo mfanyakazi mmoja wa TANESCO anaweza kuzima umeme nchi nzima bila kufahamika. Ni wizara ambayo hata umekuwepo wakutosha bado hautawaka kwa sababu wenye kuamua uwake ni binadamu ambao wana siri nyingi sana

Kwa mtizamo wangu natamani Mhe. Rais aweke waziri ambaye yupo strong lakini hana malengo ya kisiasa ikiwepo uwaziri na Urais. Ditto anawaza Uwaziri lazima akumbane na changamoto za kukwamishwa asifikie malengo.

Kumbuka hata Lowasa alipinduliwa kupitia wizara hii; tusipobadili mwonekano wa wizara mifumo ya umeme inaweza kulifanya taifa liwe gizani kwa kiumbe mmoja anayetumiwa kisiasa kuunguza mfumo mizima ya huduma.

Tuliangalie kwa jicho pana suala la nishati nchni. Tukiulize ni kweli tatizo ni kubwa kiasi hiki? Wanaohujumu wananufaikaje? Naamini Mhe. Rais alielekeza vyombo vya dola umeme usikatike hautakatika......wana machinery yakujua kila hujuma ila wanashindwa kudhibiti kwa sababu wanahofia msimamo wa kisiasa .....kwa suala la UMEME NASHAURI MHE. RAIS AWE MKALI.

Mwinyi Zanzibar ameweza kuwa mkali hakuna mgawo usio na sababu Zanzibar.....
 
Huyu wa kwetu sisi yeye hataki kuwa mkali.

Watamchezea sana

Ila tunaoumia ni sisi.
 
Naunga mkono hoja.Something must be done vinginevyo atakuwa anahujumiwa Ili aonekane dhaifu Kwa visingizio visivyoisha.

Huduma za kisenge hazitakiwi kwenye maslahi mapana ya Nchi.

Ukiweza afukuze kuanzia NPM na wahusika Wakuu
 
Back
Top Bottom