Bandari imemshinda rais akapewa mwarabu, je na umeme nao umemshinda?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,355
34,448
Kuna kitu nashindwa elewa, umeme unakatika kila baada ya masaa mawili, full mgao!

TANESCO wakatuambia kuna mgao kwa sababu ya mabwawa kuisha maji, sasa hivi kila sehemu mvua zinanyesha bado tu kuna mgao tena mkali!

Sasa nashindwa elewa je swala la umeme limemshinda rais kama ilivyomshinda bandari?

NB: Naandika hii post nikiwa gizani na simu inakaribia kuisha chaji! Inauma sana!
 
Sera za ccm 100% ni uongo hasa hasa kipindi cha jiwe na mama Samiah.
 
Kuna kitu nashindwa elewa, umeme unakatika kila baada ya masaa mawili, full mgao!

TANESCO wakatuambia kuna mgao kwa sababu ya mabwawa kuisha maji, sasa hivi kila sehemu mvua zinanyesha bado tu kuna mgao tena mkali!

Sasa nashindwa elewa je swala la umeme limemshinda rais kama ilivyomshinda bandari?

NB: Naandika hii post nikiwa gizani na simu inakaribia kuisha chaji! Inauma sana!
Suala la umeme liko hivi. Wanakata umeme ili wapate kisingizio cha kuuza shirika. Trust me. Si siku nyingi utasikia wanasema wamepata muarobaini wa kukatika kwa umeme i.e. mwekezaji!
 
Miradi tunayoenda kuwapa Waarabu:-
1. Mwendokasi
2. Tanesco
3. Makaa ya mawe
4. Nikel
 
Kuna kitu nashindwa elewa, umeme unakatika kila baada ya masaa mawili, full mgao!

TANESCO wakatuambia kuna mgao kwa sababu ya mabwawa kuisha maji, sasa hivi kila sehemu mvua zinanyesha bado tu kuna mgao tena mkali!

Sasa nashindwa elewa je swala la umeme limemshinda rais kama ilivyomshinda bandari?

NB: Naandika hii post nikiwa gizani na simu inakaribia kuisha chaji! Inauma sana!
I natakiwa iishe kabisa,ili ukiandika tena uwe unalalama kwa uchungu na kwa uhalisia zaidi na huenda kilio cha wengi kikasikika zaidi.Pole kwa makanga tz ni yetu sote,mumivu yako ni yetu sote.Kwa pamoja tutafute ilipo shida.
 
Kuna kitu nashindwa elewa, umeme unakatika kila baada ya masaa mawili, full mgao!

TANESCO wakatuambia kuna mgao kwa sababu ya mabwawa kuisha maji, sasa hivi kila sehemu mvua zinanyesha bado tu kuna mgao tena mkali!

Sasa nashindwa elewa je swala la umeme limemshinda rais kama ilivyomshinda bandari?

NB: Naandika hii post nikiwa gizani na simu inakaribia kuisha chaji! Inauma sana!
Hizi mvua zimeiumbua serikali maana ilizoea kudanganya watu kuwa ukame unasababisha mgao hasa kipindi cha November hadi March sasa mwaka huu mvua inanyesha kipindi chote hiki na hakuna cha maana wanachoweza kutuambia kwa nini kuna mgao
 
Suala la umeme liko hivi. Wanakata umeme ili wapate kisingizio cha kuuza shirika. Trust me. Si siku nyingi utasikia wanasema wamepata muarobaini wa kukatika kwa umeme i.e. mwekezaji!
Uko sahihi kwa % kubwa sana. Wakitaka kuuza shirika huwa wanalifanyia figisu sana na baadae wanauza mazima
 
Hizi mvua zimeiumbua serikali maana ilizoe kudanganya watu kuwa ukame unasababisha mgao hasa kipindi cha November hadi March sasa mwaka huu mvua inanyesha kipindi chote hiki na hakuna cha maana wanachoweza kutuambia kwa nini kuna mgao
Bahati nzuri watanzania ni wepesi wa kusahau
 
Kuna kitu nashindwa elewa, umeme unakatika kila baada ya masaa mawili, full mgao!

TANESCO wakatuambia kuna mgao kwa sababu ya mabwawa kuisha maji, sasa hivi kila sehemu mvua zinanyesha bado tu kuna mgao tena mkali!

Sasa nashindwa elewa je swala la umeme limemshinda rais kama ilivyomshinda bandari?

NB: Naandika hii post nikiwa gizani na simu inakaribia kuisha chaji! Inauma sana!
Hakuna kiongozi hapa ni bomu Tena la kienyeji. Unapewa heshima na watu. Unawasharau,unawatelekeza huna muda nao. Unawapuuza. Mimi nawaomba Watanzania huyu dawa yake ni kumpuuza 2025
 
Haikumshinda kwani anaiendesha yeye!!?

Alitafuta fursa ya kudumu ya ulaji akapata ikasanuka na kumchafua!aliposaini tu akamuibua makonda kunukisha Ili hiyo ishu isahaulike haraka!!

He wenye dola Yao TEC watakubali!!?

Hapana watafanya nini!?hatujui lakin tunaamini watafanya jambo!!

Hayo tu!!
 
Back
Top Bottom