Tulipofika Makonda Ndiye Kinara wa Siasa za Tanzania iwe CCM au Upinzani, Je Uchumi Wetu Unapaa au haupai?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,020
142,059
Siasa na Uchumi vinaenda sawia na Siasa Safi ndio hupelekea Uchumi bora

Kinara wa Siasa za Tanzania kwa sasa ni kijana mdogo kabisa mwenye maono ya Kisayansi Komredi Makonda

Tuzidi kumuombea huyu aka Magu mdogo

Baadae mlale Unono 😄😄
 
Ukinara wa siasa ndio Nini?. Punguza bangi.
 
Wanakwenda kwenye mikutano ya makonda wanafuata kumshangaa au kusikiliza ubovu wake na kujua mtu aliyekuwa na siasa za hovyo kama huyu ni nani hata Sabays akiitisha mkutano lazima watu wajae kuona huyu mtu amefilisika kiasi gani
 
Back
Top Bottom