Gari za serikali Sasa nimekuwa zikiendeshwa na waliolewa?

Hao vichaa ni kawaida yao kuendesha kwa fujo kama hawana vichwa vile.

Kati ya watu washenzi ni hao madereva wa hizo gari zilizonunuliwa na kodi zetu.
 
Hii gari ni ya serikali! Ni la idara Gani au wizara Gani?
wapo waendesha magari ya serikali na binafsi wanywa pombe,
na ndio maana kuna packing bar na zinajaa kwelikweli magari ya wateja wa pombe...

na wachache miongoni mwao huzidisha kileo mfano wa huyo na kusababisha ajali na uharibifu wa kazi na maisha yao...

self control na kua na kiasi ni muhimu sana kwa kila moja...
 
Hii gari ni ya serikali! Ni la idara Gani au wizara Gani?
Nani kakuambia amelewa, Una cheti cha Daktari kuthibitisha, What if ni Fitina ametiliwa dawa za Kulevya akawa katika hali hiyo? Tusipende kuhukumu Duniani kuna mengi. Hata mwamba akikosa mimi na wewe hatupewa huo mchongo. All in all kama amelewa mwamba kazingua sana
 
Kidumu Chama cha mapinduzi!
 
Kazi na Bata pia sio hivyo unamaliza shughuli zako unapaki Gari halafu ndio unadandia stuli.

Lakini kisa cha huyu Dereva kisifanye mkaisimanga falsafa ya Kazi na Bata badala ya ile Hapa Kazi tu mchana Mauaji usiku.
 
Back
Top Bottom