ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,109
- 49,811
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amempongeza Rais wa awamu ya 6 Samia Kwa kutoa pesa nyingi kwenye miradi mbalimbali hasa Tamisemi.
Amesema hayo wakati akikagua ujenzi wa Shule Mpya ya Wasichana Longida. Akipobgeza kazi hiyo amesema hakuna sababu ya mradi kuchelewa Kwa vile pesa ipo.
Amesema tofauti na Miaka ya huko nyuma ambako pesa zilikuwa zinakuja kidogo kidogo na kusababisha miradi kuchelewa na kuwa na mizozo Mingi ila chini ya awamu ya 6 pesa zote zinakuja inasalia nyie wenyewe kushikana uchawi.
Namnukuu" Kwa umri wangu na uzoefu Wangu Tamisemi, sijawahi ona kipandi ambapo Serikali inaleta pesa Kwa pamoja, isipokuwa awamu ya 6 ya Dr. Samia. Kazi hii Ina thawabu Kwa Mungu" Mwisho wa kunukuu.
View: https://youtu.be/XR-HW7E-z8U?si=QDnvqPg8Fyi5aLRm
My Take
Nakubaliana kabisa na RC Mongella. Mara nyingi nimesema sijawahi ona Rais aliyetekeleza miradi Mingi kama Samia. Kama Kuna mtu ana takwimu za kupinga aletwe hapa na achague sekta yeyote anayoitaka.
Wale wanamchukia Samia mnaitwa huku kuja kupinga na kuita watu chawa ila mkae mkijua chuki zenu baraka Kwa Samia.
Nawaambia tuu sio tuu Elimu ambako Rais kamimina pesa bali ni sekta zote Tanzania bila kusahau maelfu ya Ajira anazomwaga Kila siku.
View: https://www.instagram.com/p/C2wWeGFhM-L/?igsh=azQxYTNtamNkMWJz
Mungu ibariki Tanzania, Mbariki Rais Samia ili kazi iendelee.