Hivi kuna Chama cha upinzani kilicho Hai zaidi ya Chadema?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,969
141,982
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena

Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi kuna Chama kingine cha Upinzani chenye Uhai?

Sabato njema 😄
 
chauma aka ubwabwa
 
Vile 13 vinavyopinga maandamano ya cdm.
 
Umeuliza swali la msingi sana, lkn tambua kwamba wenye akili tu ndio wanaweza kueliwa mantiki ya swali lako. Siku Chadema ikiuawa kama ambavyo ccm inajitahidi kufanya kwa miaka mingi basi tujue wote tumekwisha. Vyama vingine vyote vilivyobaki ni Miradi ya ccm, kuihadaa jumuiya ya kimataifa kwamba kuna demokrasia Nchini. Angalia tu kwenye hii mijadala mizito inayoendelea hapa Nchini kuhusu Uchaguzi, umewasikia wakizungumza chochote kuhusiana na hiyo Miswada iliyopitishwa Bungeni kimizengwe? Sidhani kwasababu wao pia niwanufaika wa hii hali iliyopo. Kiujumla niwakati wa kila Mtz mwenye akili timamu kumka kutoka usingizini nakuanza kudai mabadiliko yakweli sio hizi cosmetic changes tunazoziona.
 
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena

Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi kuna Chama kingine cha Upinzani chenye Uhai?

Sabato njema 😄
ACT Zanzibar iko live. Vilivyobaki vyote ni takataka, maiti, marehemu, maiti zinanuka

Vyama 13 vya upinzani vyayapinga maandamano ya Chadema​

1706959394450.png

1706959281502.png
 
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena

Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi kuna Chama kingine cha Upinzani chenye Uhai?

Sabato njema 😄
Kwa taarifa yako, siku yule Mchuuzi wa Siasa akistaafu Uenyekiti wa CHADEMA wallah hata Mimi nitarejea CHADEMA.

Mbowe keshafika bei na inajulikana Waziri kwa Watanzania!! Morning hiyo nafasi Heche muuone muziki wake. Kanda ya Ziwa hawanaga longolongo
 
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena

Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi kuna Chama kingine cha Upinzani chenye Uhai?

Sabato njema 😄
Hata ACT wenyewe wanalijua hilo
 
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena

Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi kuna Chama kingine cha Upinzani chenye Uhai?

Sabato njema 😄
Kama wako Hai tuambie matokeo ya yale matembezi ya mshikamano a.k.a maandamano.
 
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena

Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi kuna Chama kingine cha Upinzani chenye Uhai?

Sabato njema 😄
kwani chadema ni chama sio kakikundi ka wajamaa fulani
 
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena

Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi kuna Chama kingine cha Upinzani chenye Uhai?

Sabato njema 😄
Kwani CHADEMA chama cha upinzani? Kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa! Alafu kinajiita chama kikuu cha upinzani!
 
Nawasifu CHADEMA kwa kutokuwa wabunge, kwa sababu wabunge hupatikana kwa njia ya uchaguzi. Kama hakuna uchaguzi, utawezaje kuwa na wabunge?

Bungeni wamebakia majuha ya CCM ambayo yalitangazwa kuwa wabunge, bila ya kuchaguliwa na wananchi. Ndiyo maana kila mwenye uelewa kamili, anajua kabisa kuwa safari hii Bungeni kuna takataka, na siyo wabunge. Wabunge, kuna utaratibu wa kufuatwa, ili wapatikane. Lakini uchafu husombwa kwa namna yeylte ile ambayo mwenye uchafu wake, anataka.
 
Nafahamu kwamba ACT wazalendo imeungana na CCM kupitia serikali ya mapinduzi Zanzibar hivyo huwezi kukiita ni Chama Cha Upinzani tena

Swali langu ni kwamba; Ukiondoa Chadema walioandamana Juzi kuna Chama kingine cha Upinzani chenye Uhai?

Sabato njema 😄
CHADOMO ina uhai gani. Chama cha wavuta bangi na manyumbu.
 
Nawasifu CHADEMA kwa kutokuwa wabunge, kwa sababu wabunge hupatikana kwa njia ya uchaguzi. Kama hakuna uchaguzi, utawezaje kuwa na wabunge?

Bungeni wamebakia majuha ya CCM ambayo yalitangazwa kuwa wabunge, bila ya kuchaguliwa na wananchi. Ndiyo maana kila mwenye uelewa kamili, anajua kabisa kuwa safari hii Bungeni kuna takataka, na siyo wabunge. Wabunge, kuna utaratibu wa kufuatwa, ili wapatikane. Lakini uchafu husombwa kwa namna yeylte ile ambayo mwenye uchafu wake, anataka.
unahasira sana aiseeee....
 
Back
Top Bottom