Kinana: Nakemea viongozi wa chama wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani.

Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao.

Jiwe hili limerushwa.
 
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani...
Weka clip tuisikilize, acheni kumlisha maneno
 
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani.

Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao.

Jiwe hili limerushwa.
Mjinga aliyesema
 
Hivi yule kijana wackuwadhalilisha wakubwa mjukwaani Nchi nzima Yuko wap.

Kimya kimezidi. Kimemsibi nini
 
Yeye mwenyewe ndiye mwasisi wa hayo Mambo kuna kipindi enzi za Jk alizinguka Tanganyika mzima kutangaza mawaziri mzigo na kuwavua magamba, mpaka Lostamu aliamua kuachia ubunge,kwa kuita ameachana na Siasa uchwala.mbona Yeye hakwenda kwenye vikao vya chama kuzungunzia huko alikuja hadhalani?Taifa ili kupata maendeleo ya kweli itakuwa ndoto, mpaka hakina kinana wafe maana wanamizizi yao inaitajika kizazi kingine kuingoa, Sio kizazi hiki cha machawa.Kinana mwenyewe Sio msafi analindwa na mfumo mibovu ya nchi tungelikuwa kama China tulikwisha msahau.
 
Hivi yule kijana wackuwadhalilisha wakubwa mjukwaani Nchi nzima Yuko wap.

Kimya kimezidi. Kimemsibi nini

Labda angali safarini:

F--PeDjW0AAjtCl.jpg
 
Kinana anasumbuliwa na Makonda anasahau kutangaza ilani ya chama chake.

Hiki wanachokifanya kinaonesha vile Samia ni dhaifu, kwasababu watendaji wake wote wanasumbuana wao kwa wao, nae anawaangalia tu.

Kinana anaweza kutuambia amepata wapi mamlaka ya kumkosoa Makonda? vipi kama anachokifanya Makonda kina baraka za mwenyekiti wao haoni atakuwa anavuka mipaka yake bila kujua?

Juzi Kikwete amesema ni vizuri kufuata ushauri wa wengine, leo Kinana analia kama mtoto mdogo, mbona wanaonekana hawaridhishwi na namna mambo yanavyoendeshwa kwenye chama chao?

If that is the case, kwanini wasiachie ngazi kama Kinana alivyosusa wakati ule wa Magufuli? au anajiona anammudu Samia ndio sababu?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani.

Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao.

Jiwe hili limerushwa.
Nape akitukana raia hadharani ni fair!?
 
Back
Top Bottom