Makonda kuizika CHADEMA Iringa leo, watu ni wengi mno

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,121
Hapa Mwembetogwa ndio Mkemia mwingine Mwakibasa alijizolea umaarufu mkubwa sana hadi kumbwaga Jasusi mbobezi Dr Hassy kwenye uchaguzi wa Kwanza wa vyama vingi 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi.

Leo Komredi Makonda atakuwa hapa na huenda Makamanda wengi wa Chadema wakiongozwa na Msigwa watakabidhiwa Kadi za CCM, mkoa aliosoma Shujaa Magufuli.

Ni kwamba Watu wamelala uwanjani kumsubiria Mwenezi wa CCM na Timu yake.

Navalonge swela 😂🔥🐼
 
Hapa Mwembetogwa ndio Mkemia mwingine Mwakibasa alijizolea umaarufu mkubwa sana hadi kumbwaga Jasusi mbobezi Dr Hassy kwenye uchaguzi wa KWANZA wa vyama vingi 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi

Leo Komredi Makonda atakuwa hapa na huenda Makamanda wengi wa CCM wakiongozwa na Msigwa watakabidhiwa Kadi za CCM

Ni kwamba Watu wamelala uwanjani kumsubiria Mwenezi wa CCM na Timu yake

Navalonge swela 😂🔥🐼
Kama kuna mtu kalala uwanjani kwaajili ya kumsubiri Makonda,hakika huyo mtu au hao watu ni wajinga na pengine ni sababu tosha kwanini Tanzania ni maskini wakati tunamiliki rasilimali kibao.
 
Hapa Mwembetogwa ndio Mkemia mwingine Mwakibasa alijizolea umaarufu mkubwa sana hadi kumbwaga Jasusi mbobezi Dr Hassy kwenye uchaguzi wa Kwanza wa vyama vingi 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi.

Leo Komredi Makonda atakuwa hapa na huenda Makamanda wengi wa CCM wakiongozwa na Msigwa watakabidhiwa Kadi za CCM, mkoa aliosoma Shujaa Magufuli.

Ni kwamba Watu wamelala uwanjani kumsubiria Mwenezi wa CCM na Timu yake.

Navalonge swela 😂🔥🐼
Wabunge wa mkoa wa Iringa ni wanaCCM.
 
Makonda anaizika Chadema au anaibua unafiki na uovu wa CCM?
 
Hapa Mwembetogwa ndio Mkemia mwingine Mwakibasa alijizolea umaarufu mkubwa sana hadi kumbwaga Jasusi mbobezi Dr Hassy kwenye uchaguzi wa Kwanza wa vyama vingi 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi.

Leo Komredi Makonda atakuwa hapa na huenda Makamanda wengi wa CCM wakiongozwa na Msigwa watakabidhiwa Kadi za CCM, mkoa aliosoma Shujaa Magufuli.

Ni kwamba Watu wamelala uwanjani kumsubiria Mwenezi wa CCM na Timu yake.

Navalonge swela 😂🔥🐼
Hata picha hamna,unatufunga kamba za kula kwa urefu wewe🤣
 
Huku kuzikana na kufufuana kwa hivi vyama kunamsaidia vipi Mwananchi anayefanyiwa haya Maigizo ?

Mpaka pale tutakapogundua kwamba Hizi ni Ngonjera na mwizi / fisadi / mlamba asali hata Gwanda wala Gamba tutaendelea kuchezewa na kubadilisha walaji
 
Hapa Mwembetogwa ndio Mkemia mwingine Mwakibasa alijizolea umaarufu mkubwa sana hadi kumbwaga Jasusi mbobezi Dr Hassy kwenye uchaguzi wa Kwanza wa vyama vingi 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi.

Leo Komredi Makonda atakuwa hapa na huenda Makamanda wengi wa CCM wakiongozwa na Msigwa watakabidhiwa Kadi za CCM, mkoa aliosoma Shujaa Magufuli.

Ni kwamba Watu wamelala uwanjani kumsubiria Mwenezi wa CCM na Timu yake.

Navalonge swela
Alishindwa yule mwehu aliyekuwa CIC itakuwa huyu mbwiga anayelemewa na makalio yake mwenyewe
 
Hapa Mwembetogwa ndio Mkemia mwingine Mwakibasa alijizolea umaarufu mkubwa sana hadi kumbwaga Jasusi mbobezi Dr Hassy kwenye uchaguzi wa Kwanza wa vyama vingi 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi.

Leo Komredi Makonda atakuwa hapa na huenda Makamanda wengi wa CCM wakiongozwa na Msigwa watakabidhiwa Kadi za CCM, mkoa aliosoma Shujaa Magufuli.

Ni kwamba Watu wamelala uwanjani kumsubiria Mwenezi wa CCM na Timu yake.

Navalonge swela 😂🔥🐼
Kwani CDM ilisha kufa na kuzikwa mara ngapi? Muulize JPM tena yeye aliapa, aliengua wagombea, akawapachika kesi hadi za mauaji, akaua na wengine akawanunua mazima. Mengine siri yake na CDM Gari limewaka.
 
kutokana na siasa za tanzania ,wanaweza kudhani kuwa Makonda ni mtatuzi wa matatizo. wanashindwa kutatua kero wapo mauzauza kila siku. siasa za nchi yetu ni nyepesi sana.
Si ndio maana vilaza kama Lema na Mbowe wanao wafuasi aisee,
 
Kama kuna mtu kalala uwanjani kwaajili ya kumsubiri Makonda,hakika huyo mtu au hao watu ni wajinga na pengine ni sababu tosha kwanini Tanzania ni maskini wakati tunamiliki rasilimali kibao.
Endelea kuamini hivyo hivyo chief wakati hata wewe unayonafasi ya kufanya vizuri kuliko Makonda lakini shida wivu umekuvaa hadi kwenye ubongo
 
Back
Top Bottom