Lowasa aliuchukia Umaskini na hakuwahi kujivunia nao hadharani.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,894
Kwema Wakuu!

Tofauti na viongozi wengine walio/wanaojivunia Umaskini kwenye majukwaa. Kwa kusema oooh! Mimi mtoto wa maskini, mara ooh! Nimelelewa katika mazingira magumu. Ili wapate huruma au ushawishi kwa watu. Kwa Lowasa hali ilikuwa tofauti kabisa.

Mara kwa mara alitamka hadharani kuwa hapendi Umaskini na kamwe hakuweza kujivunia nao kwa chochote. Umaskini ni laana ambayo mtu yeyote timamu hawezi kujivunia nao.

Focus yake kubwa ni kuupinga Umaskini. Na aliamini elimu ndio silaha pekee ya kupambana na Umaskini.

Pumzika kwa amani White Hair
 
Ukiwa masikini lazima uwe Jeuri.

Ni hivyo tu ndio utatoboa.

Wazungu wanasema "fake it till you make it"

Hiyo maana yake, wewe uwe Jeuri tu.

Mzee wetu Edward Lowasa alale salama. Amemaliza mwendo.
 
hivi kwa nini nao wasanii wa bongo fleva wasife wapate kuuza nyimbo zao.maana marehemu anaongelewa sana kuliko akiwa mzima
 
Back
Top Bottom