Jezi tu za Simba na Yanga zinatushinda ndio tutaweza kubuni Vazi la Taifa? Sare za CCM zinatosha kuwa Vazi la Taifa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,070
Hakunaga haja ya kuhangaika na Mavazi wakati Umeme na Sukari ni shida

Badala ya Vazi litabuniwa Bango la Taifa

Tushughulikie electricity and Sugar kwanza 😂😂

Vazi tuendeleze Sare ya CCM iliyotupatia Uhuru kupitia TANU

Nawatakia Sabato Njema
 
Angalau CCM wanatambua kabila lao la umoja wao wa Kichama.

Kujitambua kwa wana CCM kwa vazi lao, kunachangia hali yao ya Utambulisho wao.

Unaakisi pande mbili, Urithi wa kitamaduni na ushiriki wa Kisiasa.

CCM kabila kubwa.
 
Kwa kuwa Mama Abdul anavaa hijab, basi vazi rasmi la Taifa ni hilo lwenye picha kwani litawapendeza akina Baba Abdul pamoja na Allah.
Screenshot_20240210_091641_Facebook.jpg
 
Hii issue ya vazi la taifa inapata ugumu wa kutekelezeka kwasababu ya mfumo tulionao wa vyama vingi, siasa imechukua nafasi kubwa sana kwenye maisha yetu, hivyo kama iko siku litabuniwa hilo vazi, sijui itakuwa vipi kwa watu wa Chadema na CCM kuvaa vazi moja, watu wasiojua kuona jema la mwenzao.

Siku likibuniwa hilo vazi, naamini badala ya kutumika kuonesha umoja wetu kama taifa, ndilo litatumika kuonesha tofauti zetu, kabla ya kifikiria uwepo wa hilo vazi, maridhiano yalikuwa ni muhimu sana yaendelee, ili siku ikifika ya kuja na mwelekeo mpya kama taifa, viongozi wa vyama vyote wawe wamevaa hiyo sare ya vazi la taifa, lakini kwa hali ilivyo sasa...

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hakunaga haja ya kuhangaika na Mavazi wakati Umeme na Sukari ni shida

Badala ya Vazi litabuniwa Bango la Taifa

Tushughulikie electricity and Sugar kwanza 😂😂

Vazi tuendeleze Sare ya CCM iliyotupatia Uhuru kupitia TANU

Nawatakia Sabato Njema
watu wenye akili mchundo ndio wanafikiri mavi kama hayo
 
Hakunaga haja ya kuhangaika na Mavazi wakati Umeme na Sukari ni shida

Badala ya Vazi litabuniwa Bango la Taifa

Tushughulikie electricity and Sugar kwanza 😂😂

Vazi tuendeleze Sare ya CCM iliyotupatia Uhuru kupitia TANU

Nawatakia Sabato Njema
Vazi la taifa ndiyo kitu gani?
 
Kwanini wewe unapenda kutaka mavi?
Mavi yananuka, hayafai hata kuyasema mbele za watu. hata ukiwa chooni unapiga perfume usinuse harufu chafu. kuna watu wana mawazo kama ya mavi. Mawazo yananuka. Mtu na akili zako unafikiria vazi la taifa wakati hakuna umeme, uchumi ni zero.... and many other atrocities current facing these poor people! Unafikiri Sare/vazi.....
 
Sare ya Taifa
Nadilisheni Mfume wa Elimu, Katiba ili mtambulike kwa mambo hayo, siyo kutambulika kwa mavazi.
Mngetaka vazi la taifa si mngelitohoa kutoka kwenye nembo ya Bibi na Bwana!!
You Tanzanians are just a joke, you were never meant to be or even live among the people but the grasshopoers
 
Ndio. Huoni laana hii ya uwepo wa ccm, na bado mtu anaibuka kusema vazi la ccm liwe vazi la taifa!
😂 😂 😂
Mimi sina Laana hiyo, ila CCM kabila kubwa kuliko.

Wana Vazi lao la Kitaifa!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom