Tumuenzi Lowassa kwa kuunganisha VETA na JKT

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Katika sera zake na ahadi zake za urais 2015 Lowassa aliahidi kuwa angeunganisha VETA na JKT endapo angechaguliwa kuwa Rais.

Haya yalikuwa maono makubwa naomba yaenziwe na Serikali
 
VETA NA JKT mi naona bora JKT ingeondolewa ina chelewesha vijana na kudanganya vijana kwenye malengo.
unaenda JKT kwa kudanganywa kuajiliwa au kupewa matumaini hewa
 
Back
Top Bottom