Chalamila acha mapepe, watu wakiumizwa utafukuzwa wewe kuwa makini

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Chalamila kuwa makini sana na kujiingiza kwenye mambo marefu kuliko wewe. Kwenye hili la maamndanano kaa pembeni hizi sio zama za Magufuli.

Hizi ni zama za uwekezaji, watalii, majirani kutumia bandari , michezo ya kimataifa Tanzania. Wenzako wanakuacha kama chambo ili yakiaribika wakufukuze wewe mwenyewe bila kuleta lawama zozote kwa wengine.

Chadema kisheria wapo sawa, maandamano ni ya amani usije kufikiri Mama Samia hajali picha yake na kujali watu wanamsemaje kama kiongozi.

Polisi na wanajeshi wakileta fujo inaweza kuleta sifa mbaya na kupunguza watalii na tatizo halitakuwa Chadema litakuwa wewe.

Hivyo ni bora sana Polisi walinde amani Chadema wafanye maandanano yao kwa hayo maasaa matano kuliko kuleta matatizo ya kujitakia na wenzako sheria iko upande wao.

Kisheria mkuu wa mkoa hauhusiki kwenye lolote hapa.
 
Umesema maandamano ya Chadema yako kisheria, je kamanda wa polisi hapo Dar ana taarifa ya hayo maandamano.?
 
Wahusika wa Teuzi huko Juu wawe wanapima Afya za Akili kabla ya kuteua Machizi.
 
Umesema maandamano ya Chadema yako kisheria, je kamanda wa polisi hapo Dar ana taarifa ya hayo maandamano.?

..huyo atakuwa kamanda wa Polisi wa ajabu kwelikweli kama mpaka leo hana taarifa za maandamano ya Cdm.
 
Chalamila kuwa makini sana na kujiingiza kwenye mambo marefu kuliko wewe. Kwenye hili la maamndanano kaa pembeni hizi sio zama za Magufuli. Hizi ni zama za uwekezaji, watalii, majirani kutumia bandari , michezo ya kimataifa Tanzania. Wenzako wanakuacha kama chambo ili yakiaribika wakufukuze wewe mwenyewe bila kuleta lawama zozote kwa wengine. Chadema kisheria wapo sawa, maandamano ni ya amani usije kufikiri Mama Samia hajali picha yake na kujali watu wanamsemaje kama kiongozi. Polisi na wanajeshi wakileta fujo inaweza kuleta sifa mbaya na kupunguza watalii na tatizo halitakuwa Chadema litakuwa wewe. Hivyo ni bora sana Polisi walinde amani Chadema wafanye maandanano yao kwa hayo maasaa matano kuliko kuleta matatizo ya kujitakia na wenzako sheria iko upande wao.

Kisheria mkuu wa mkoa hauhusiki kwenye lolote hapa.
Chalamila kaza apo apo wanapowashwa washwa :D wameanza kuona majotrooo na kihoro mapemaaaaa.....

wasionewe huruma, wasionewe haya, wawajibishwe vilivyo mithili ya mbwa koko mwizi, jambazi, mporahi au mapanyarodi...
nashauri waje na katiba kabisa....

vinginevyo nawatakia shughuli njema ya usafi majeshi yetu ya ulinzi na usalama, yatakayopata fursa ya kufanya usafi maendeo mbalimbali jijini dar es salaam....

kwa usafi tunaweza kuzuia na kuepuka kipindupindu dar....
 
Baada ya Mchimbi kuongia Makonda ananyemelea nafasi yako angalia sana set up kama hizi.
 
Baada ya Mchimbi kuongia Makonda ananyemelea nafasi yako angalia sana set up kama hizi.
actualy hilo pia linawezekana katika siasa,
Muhimu ni ibada na subra, ikifunga huku ukiwa makini panafunguka kule kwa neema za MUNGU
 
Chalamila kaza apo apo wanapowashwa washwa :D wameanza kuona majotrooo na kihoro mapemaaaaa.....

wasionewe huruma, wasionewe haya, wawajibishwe vilivyo mithili ya mbwa koko mwizi, jambazi, mporahi au mapanyarodi...
nashauri waje na katiba kabisa....

vinginevyo nawatakia shughuli njema ya usafi majeshi yetu ya ulinzi na usalama, yatakayopata fursa ya kufanya usafi maendeo mbalimbali jijini dar es salaam....

kwa usafi tunaweza kuzuia na kuepuka kipindupindu dar....
Huna aibu na hiyo kipindupindu yako.Bora ufe tu, kama hauwezi kujua hata kanuni za usafi.
 
Huna aibu na hiyo kipindupindu yako.Bora ufe tu, kama hauwezi kujua hata kanuni za usafi.
umepanic au umechafukwa 🐒

🤣 sure ni bora kufa kulikoni kuishi na mihemko kama ivo yaani dah!!
Hata na hivyo binadamu tumeumbiwa kufa na sisi sote ni waja wake na kwa wakati wake kila moja ataitwa kwake...

Kuhusu kipindupindu ni kujihadhiri tu na uchafu.
Si unajua kuugua kipindupindu ni lazima uwe umekula mavi au kinyesi cha mtu mwenye maambukizi ya kipindupindu 🐒

Mazingira ni lazima yasafishwe na tule chakula na matunda katika mazingira masafi na salama.
 
Chalamila kaza apo apo wanapowashwa washwa :D wameanza kuona majotrooo na kihoro mapemaaaaa.....

wasionewe huruma, wasionewe haya, wawajibishwe vilivyo mithili ya mbwa koko mwizi, jambazi, mporahi au mapanyarodi...
nashauri waje na katiba kabisa....

vinginevyo nawatakia shughuli njema ya usafi majeshi yetu ya ulinzi na usalama, yatakayopata fursa ya kufanya usafi maendeo mbalimbali jijini dar es salaam....

kwa usafi tunaweza kuzuia na kuepuka kipindupindu dar....
Sasa ivi anarudi kutoa singel ya zile nyimbo zake pia tunamsubiri hapa kawe kwa mwamposa mshirika mwenzetu ☺️
 
Chalamila ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa ana uwezo wa kuamuru vyombo vya ulinzi na usalama katika mambo ya mkoa.

Endeleeni kujiaminisha hana mamlaka ya ulinzi wa mkoa.

Be realistic CDM wafuate taratibu za kufanya maandamano yao, vinginevyo wanachukua risk kubwa.

Ushauri na ushawishi wa ‘Twitter Republic’ uwa sio mzuri na aunaga uhalisia wa kidunia.
 
Back
Top Bottom