Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mwaka 2015 ulikuwa mwaka wa uchaguzi hapa Tanzania.
Wagombea walikuwa ni wengi lakini wakubwa walikuwa ni MH Lowasa na Magufuli. Nilishangazwa sana na kauli za mh Kikwete kuwa CCM Wana uhakika wa kushinda kwani wana maarifa ya kushinda.
Hivi zaidi ya kuchaguliwa kupitia sanduku la kura kuna MAARIFA zaidi ya hayo? Kama kuna maarifa zaidi ya uhalisia kwenye sanduku la kura huo utakuwa ni dhulma dhidi ya wapiga kura.
By the way WATANZANIA WOTE TUNAUCHUKIA UMASIKINI KWA NGUVU ZETU ZOTE