Nilitarajia CHADEMA wangetumia msiba wa Lowasa kuiomba msamaha familia yake

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,865
12,297
Habari zenu wanaJF wenzangu

Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa.

Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake, marafiki zake na hata maadui zake. Hivyo haishangazi kuona kila mtu anauzungumzia msiba huu.

Lakini pamoja na yote kuna hili jambo la mtu ambae aliwahi kuonesha chuki za wazi kwa hayati Edward Lowasa enzi za uhai wake, eti leo anajifanya ni mwema wake na rafiki yake ambae ameguswa mno na kifo chake 😳😳.

Hivi umeshawahi kuona wapi mtu ambae anakuombea mabaya, siku ukiyapata hayo mabaya eti anakuja tena kusikitika. Huu kama sio unafiki ni nini!!

Sawa inafahamika vizuri kwamba nguzo kuu za siasa ni (1) uongo (2) unafiki (3) na uzushi. Lakini inapotokea pale uliemzushia jambo amefariki, huku ukiwa unajua kuwa ulichomzushia hakina ukweli wowote, basi ni vizuri kuiomba msamaha familia yake ili kuwaondoa ile kumbukumbu mbaya walionayo kichwani mwao kuhusu uzushi uliomzushia ndugu au baba yao.

Kwenda kujing'ang'aniza kutoa machozi ili kuwahadaa baadhi ya watu wasiozijua nguzo za siasa nilizozitaja hapo juu, haitasaidia kuondoa dhana mbaya walizonazo watoto wa marehemu.

Nafikiri toka zamani kiongozi wetu alikuwa anataka Lowasa na yeye achomwe moto kama wanavyochomwa vibaka, ila Mungu hakuruhusu hilo litokee kamwe.

Picha zinaeleza kila kitu, na bahati nzuri mwenyewe anakiri kuwa kuna unafiki unafanyika msibani.
images (2).jpeg
Screenshot_20240212-071929.jpg

RIP ndugu Edward Lowasa
Mbele yako, nyuma yetu.
 
View attachment 2901449View attachment 2901450
RIP ndugu Edward Lowasa
Mbele yako, nyuma yetu.
Baada ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, Mbowe ndiye mlezi mkuu wa Lowassa kisiasa!
 
We jamaa bana sijui unawazaga kutumia nini sijui.

Chadema ushasahu kama walivyompokea chadema walim clear kabisa kila kitu? Umesahu au unalazimisha Kiki kwa kutumia kamasi

Hao ccm walioweka hadi bendera kwa taifa zima nusu mlingoti kwa siku 5 ushasahu matusi, kashfa na dhihaka walizomfanyia alivyoenda chadema? Wameshamuomba radhi? Tena bora hata chadema walim clear alipokuwa hai na aliona
 
Bila Chadema kumpokea Lowassa e 2015 angeshakufa kitambo kwa sonona,yale mafuriko ya watu ilikuwani tiba tosha,ile ilikuwani mahakama ya wananch ikuwa jamaa ni msafi sio fisadi,au watu hawakujali ufisadi wake baliuchapakazi wake,ilekituilimuongezea siku zakeza kuishi sana tu,
Hitimisho,familia ya Lowassa iwashukuru sana Chadema kumpokea baba yao
 
in politics there is no permanent enemy 🐒

R .I. P Laigwanan Comrade EL
 
We jamaa bana sijui unawazaga kutumia nini sijui.

Chadema ushasahu kama walivyompokea chadema walim clear kabisa kila kitu? Umesahu au unalazimisha Kiki kwa kutumia kamasi

Hao ccm walioweka hadi bendera kwa taifa zima nusu mlingoti kwa siku 5 ushasahu matusi, kashfa na dhihaka walizomfanyia alivyoenda chadema? Wameshamuomba radhi? Tena bora hata chadema walim clear alipokuwa hai na aliona
Swala ilikuwa ni kumpokea na kumpa nafasi ya kugombea uraisi, ila sio kuombana msamaha.
 
Bila Chadema kumpokea Lowassa e 2015 angeshakufa kitambo kwa sonona,yale mafuriko ya watu ilikuwani tiba tosha,ile ilikuwani mahakama ya wananch ikuwa jamaa ni msafi sio fisadi,au watu hawakujali ufisadi wake baliuchapakazi wake,ilekituilimuongezea siku zakeza kuishi sana tu,
Hitimisho,familia ya Lowassa iwashukuru sana Chadema kumpokea baba yao
Ungesema bila Chadema kumchafua 2008 to 2015 Lowasa angekuwa raisi wa JMT.

Kashfa na madongo aliyokuwa anatupiwa na Chadema nchi nzima kuliifanya CCM iogope kumpitisha awe mgombea wao. Maana ingeangukia pua kutokana na kashfa za mgombea wake (Lowasa) plus na chama kilikuwa kishachokwa.

So viongozi wa Chadema wamechangia pakubwa kuififisha ndoto ya Lowasa kuwa raisi wa Tz.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa.

Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake, marafiki zake na hata maadui zake. Hivyo haishangazi kuona kila mtu anauzungumzia msiba huu.

Lakini pamoja na yote kuna hili jambo la mtu ambae aliwahi kuonesha chuki za wazi kwa hayati Edward Lowasa enzi za uhai wake, eti leo anajifanya ni mwema wake na rafiki yake ambae ameguswa mno na kifo chake 😳😳.

Hivi umeshawahi kuona wapi mtu ambae anakuombea mabaya, siku ukiyapata hayo mabaya eti anakuja tena kusikitika. Huu kama sio unafiki ni nini!!

Sawa inafahamika vizuri kwamba nguzo kuu za siasa ni (1) uongo (2) unafiki (3) na uzushi. Lakini inapotokea pale uliemzushia jambo amefariki, huku ukiwa unajua kuwa ulichomzushia hakina ukweli wowote, basi ni vizuri kuiomba msamaha familia yake ili kuwaondoa ile kumbukumbu mbaya walionayo kichwani mwao kuhusu uzushi uliomzushia ndugu au baba yao.

Kwenda kujing'ang'aniza kutoa machozi ili kuwahadaa baadhi ya watu wasiozijua nguzo za siasa nilizozitaja hapo juu, haitasaidia kuondoa dhana mbaya walizonazo watoto wa marehemu.

Nafikiri toka zamani kiongozi wetu alikuwa anataka Lowasa na yeye achomwe moto kama wanavyochomwa vibaka, ila Mungu hakuruhusu hilo litokee kamwe.

Picha zinaeleza kila kitu, na bahati nzuri mwenyewe anakiri kuwa kuna unafiki unafanyika msibani.
View attachment 2901449View attachment 2901450
RIP ndugu Edward Lowasa
Mbele yako, nyuma yetu.
Kwani waliosema mnapeleka maiti Ikulu ni akina nani ????????
 
Waliotakiwa kumuomba msamaha ni wanaCCM ..... JK, Nape, Mwakyembe, Kinana, Rizwan, Msukuma ..... list ni ndefu sana.
 
Back
Top Bottom