Msafara wa Viongozi na Wanachama wa Chadema umeondoka DSM kuelekea Mwanza kwenye Maandamano hapo Kesho!

Kwani hoja yao nini haswa?

Au ni kwa sababu waliondolewa kwenye ratiba ya msiba?
 
Mabasi ya kutoka shinyanga, Mara, Tabora, Simiyu, Singida Kagera, na wilaya zote za Mwanza yamekodiwa na Chadema. Hii imeleta shida kubwa ya usafiri hapa kanda ya ziwa.

Sisi tunataka maandamano ya Mwanza, sio ya Kanda ya ziwa. Maana baada ya maandamano mtasema walioandamana mi wa Mwanza tu wakati wametoka ukanda wote wa ziqa
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema msafara mkubwa sana wa Viongozi na Wanachama wa Chadema uko njiani kuelekea Mwanza tayari kabisa kwa Maandamano ya kesho

Picha zitawajia wakiwa safari I

Kumbuka U mavumbi wewe nawe Mavumbini Utarudi
Wasisahau kuwapitia ndugu zao pale hifadhi ya Serengeti. Sijawahi ona majitu mapumbavu km Chadomo. Mikutano imewashinda sasa eti maandamano, hawana kazi za kufanya waandamanw ht kila sk.
 
Chadema hawana watu ndio maana kama ilivyokuwa Dar walileta watu Toka Kila Kona nchi wanachama wao kuja kuandamana Hivyo na Mwanza wanapeleka watu

Wanaogopa aibu
Hawana watu, kwa hiyo tuseme walioandamana Dar ni wewe, mumeo na mamako au? Au walioandamana ni paka?
 
Mabasi ya kutoka shinyanga, Mara, Tabora, Simiyu, Singida Kagera, na wilaya zote za Mwanza yamekodiwa na Chadema. Hii imeleta shida kubwa ya usafiri hapa kanda ya ziwa.

Sisi tunataka maandamano ya Mwanza, sio ya Kanda ya ziwa. Maana baada ya maandamano mtasema walioandamana mi wa Mwanza tu wakati wametoka ukanda wote wa ziqa
Sasa pointi yako ni nini bibie?
 
Chadema hawana watu ndio maana kama ilivyokuwa Dar walileta watu Toka Kila Kona nchi wanachama wao kuja kuandamana Hivyo na Mwanza wanapeleka watu

Wanaogopa aibu

Cdm hawana watu, ila walileta watu kuandamana! Sasa hao wanaowapata Kila Kona ya nchi wanatoka wapi?
 
Back
Top Bottom