Video: Licha ya Waziri wa Mwigulu kutoa ufafanuzi wa upelekaji wa fedha, Wabunge waendelea kumkalia kooni kuhusu TARURA

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Ukisikiza maelezo ya Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba kuhusu matumizi ya Fedha Yako clear na yenye hoja lakini ukisikiliza maswali na maelezo ya Wabunge walio wengi ni weupe kichwani.

Kwamba Mbunge anataka pesa zote bil.800 ziende kwani ndio utaratibu wa utekelezwaji wa Bajeti ya Nchi? Umeambiwa pesa Zinaenda Kwa certificate huelewi, miradi imesimama Kuna mvua huelewi na mbaya zaidi baada ya mfumo Mpya wa manunuzi Nest miradi imechelewa kuanza ila Wabunge hawaelewi.

Yaani tuna Watu wanaitwa Wabunge ila hawajui Utaratibu wa ufanyaji kazi wa Serikali.Kuna haja ya Kupitia Upya vigezo vya kuwa Mbunge 🤣🤣

View: https://youtu.be/7clFSHmnMVg?si=oQJwYKQnRpKSoV7c

My Take
Naunga mkono Ufafanuzi wa Waziri wa Fedha ila vilaza ni ngumu sana kuelewa.
 
Back
Top Bottom