Chadema iliyozikwa na Hayati Magufuli imeanza kufufuka, sasa wanaenda Mbeya!

Mtaani kabisa kiukweli, wananchi hawana muda na chadema wala siasa za upinzani. Facts ni kwamba wananchi wanajua hakuna kinachoweza kuwa tofauti upinzani ukiingia madarakani. Hizo rally zenu ni sehemu tu ya ku justify matumizi ya hela zenu za ruzuku, hakuna kipya.
 
Walitakiwa kuahirisha maandamano wakampumzishe mgombea urais 2015.

Hata kama alihama chama hawakutakiwa kufanya maandamano haya wakati wa maombolezo kwa mawazo yangu lakini.
 
Unaweza kuwadharau lakini ukweli utabaki ukweli kwamba Chadema inafufuka

Nilichoshangaa ni kuwaona kwenye Maandamano Makamanda original Wote akina Prof Lwaitama, akina BAK, Dr Slaa nk.

Mimi na mzee Mgaya tutasogea hapo Mbeya tukajiridhishe hawa Pipozi Pawa ndio wanafufuka kweli?

Sisi ni akina Tomaso 😂😂

Mlale unono!
Masahihisho : Magufuli hakuwahi kuizika Chadema bali yeye ndio alizikwa kwao Chato , alichojaribu kufanya ni kuvunja katiba kwa kuzuia shughuli za kisiasa bila mafanikio , na akaishia kuiba kura kibwege sana hadi zikamtokea puani
 
Chadema ni chama bora nchini

20240215_191307.jpg
 
Walitakiwa kuahirisha maandamano wakampumzishe mgombea urais 2015.

Hata kama alihama chama hawakutakiwa kufanya maandamano haya wakati wa maombolezo kwa mawazo yangu lakini.

Maandamano sio starehe. Kumbi zote za starehe burudani ni kama kawaida. Michezo yote ni kama kawaida, bunge ambalo ni la wanaccm tupu hawajasimamisha bunge hata siku moja kuomboleza. Kwanini cdm tu wasitishe maandamano Yao? Au huo msiba ndio mnataka kugeuza Kinga ya maandamano?
 
Unaweza kuwadharau lakini ukweli utabaki ukweli kwamba Chadema inafufuka

Nilichoshangaa ni kuwaona kwenye Maandamano Makamanda original Wote akina Prof Lwaitama, akina BAK, Dr Slaa nk.

Mimi na mzee Mgaya tutasogea hapo Mbeya tukajiridhishe hawa Pipozi Pawa ndio wanafufuka kweli?

Sisi ni akina Tomaso 😂😂

Mlale unono!

Magufuli hakuwahi kuiua cdm maana Chama cha siasi ni ideology, hakuna ideology inauwawa kwa kuzuiwa kwa nguvu za Dola na vikundi vya kuteka. Ushahidi wa Magufuli kutokuiua cdm ni ule uchaguzi wa kihayawani wa 2020 ili atangazwe mshindi kwa shuruti yeye na chama chake.
 
Unaweza kuwadharau lakini ukweli utabaki ukweli kwamba Chadema inafufuka

Nilichoshangaa ni kuwaona kwenye Maandamano Makamanda original Wote akina Prof Lwaitama, akina BAK, Dr Slaa nk.

Mimi na mzee Mgaya tutasogea hapo Mbeya tukajiridhishe hawa Pipozi Pawa ndio wanafufuka kweli?

Sisi ni akina Tomaso 😂😂

Mlale unono!
Sasa mbona umekosea heading? Chadema na magufuli nani Ali mzika mwenzie?
 
Back
Top Bottom