Je Watu wameacha kumwogopa Kikwete? Wameamua tu waseme ukweli?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Wengi wanasema Lowassa alisalitiwa na rafiki yake. Alikipigania Chama kikamtosa. Alikubali kuumia sababu ya Chama.

Tofauti ya Kikwete na Magufuli.

Kikwete alikuwa anakuchukia huku anacheka nawe. Ni aina ya watu wanafiki, wachawi na wakuda sana. Ukimsoma sana au ukiuliza sana habari zake unaweza kuja kuta hata huko nyuma alishawahi wadhuru au taka wadhuru watu kwa namna hii ya tabia.

Magufuli. Alikuwa anakuchukia na anakuonesha anakuchukia. Huyu ni mtu mzuri maana unajua how to deal with him. Kuwa akienda mashariki we unaenda zako magharibi. Msijuane, msifuatane. Mimi napenda mtu anayejiamini katika hisia zake. Anasema anachofikiria kibaya au kizuri.

Msikilize Prof. Lipumba kaamua kufunguka.

Hizo ndizo siasa. Maslahi ya nchi kwanza urafiki baadae. Kikwete alijua na alimjua Lowassa kuliko wewe ulieko MTAANI au kijijini. Miaka miwili tu! Akampa Rostam mkataba wa Richmond yakapigwa mabilioni ya fedha za wananchi! Haiitaji akili kujua nani alihusika kwani Rais alimuamini Waziri wake mkuu na rafiki yake.

Ndio...watu wa Pwani tunasemeaga rohoni..." Neng'eneka tu, tuone mwisho wako!'"Wala hatukunji ndita au kushika panga.Unawekwa akiba na unakuwa labeled kuwa si wa kuaminika.

Akaachwa atambe,akatumia fedha nyingi kuweka wajumbe wa NEC kila mkoa, fedha zilimwagwa waziwazi kwa wajumbe,wakaimba na kulitukuza jina lake. Akapata kiburi na akajua kuwa kamaliza hakuna wa kumzuia. Akatamka waziwazi kuwa mkataba wa Richmond yalikuwa ni maagizo ya bosi wake (Rais). Tena hadharani. Lowassa akasahau kuwa yeye ndiye aliyempa hiyo kampuni ambayo mwanzo yeye alisema aliwaamini wa chini yake wakamuangusha.

Akaona kashika makali akasahau kuwa alikuwa ameshika mpini. Kili chotokea ndio hicho kinaitwa unafiki
 
Wengi wanasema Lowassa alisalitiwa na rafiki yake. Alikipigania Chama kikamtosa. Alikubali kuumia sababu ya Chama.

Tofauti ya Kikwete na Magufuli.

Kikwete alikuwa anakuchukia huku anacheka nawe. Ni aina ya watu wanafiki, wachawi na wakuda sana. Ukimsoma sana au ukiuliza sana habari zake unaweza kuja kuta hata huko nyuma alishawahi wadhuru au taka wadhuru watu kwa namna hii ya tabia.

Magufuli. Alikuwa anakuchukia na anakuonesha anakuchukia. Huyu ni mtu mzuri maana unajua how to deal with him. Kuwa akienda mashariki we unaenda zako magharibi. Msijuane, msifuatane. Mimi napenda mtu anayejiamini katika hisia zake. Anasema anachofikiria kibaya au kizuri.

Msikilize Prof. Lipumba kaamua kufunguka.

View attachment 2904015
Law of the Universe !
Kila kitu lazima kitakuwa wazi !!
 
mambo ya siasa ukiyajaza na kuyahifadhi moyoni utateseka sana..

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Kimsingi waliommaliza Lowasa kisiasa ni CHADEMA. Hii ni kabla Lowasa hajahamia CHADEMA. CHADEMA walikuwa wame mchafua sana sana Lowasa. Kiasi kwamba kwenda na Lowasa kwenye Uchaguzi ilikuwa ni ngumu sana. Maana Dr. Slaa ange mgalaza sana na kwa jinsi walivyokiwa wameaminisha umma kuwa Lowasa ni fisadi, CCM wangepata wakati mgumu sana kumsafisha.

Hivyo Kikwete alikuwa hana jinsi..Alitakiwa achagua kati ya..kumkumbatia rafiki yake, au kukibeba chama. Mengine ni siasa.
 
Back
Top Bottom