Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,467
- 9,007
Wakubwa zangu, nawasalimu. Natumai mu wazima wa afya.
Naomba niwaulize wakuu zangu wanaJF...
Huwa naona humu mara nyingi sana watu wakiongea kuhusu "Lumumba Buku 7". Je, hii ni ajira rasmi?
If YES, recruitment yake ipoje? Required key qualifications ni zipi?
Nimekuwa selected for Admission kwenye Chuo, ila nimekosa mkopo wa Heslb. Na nipo jobless. Ndiyo nikakuna kichwa na kupata wazo... nikaikumbuka hii 'Lumumba Buku 7'. Kama kweli ni ajira rasmi ya CCM, basi mie najitosa huko wakuu. Nikizimeki hizo buku 7 on 'strictly saving' basis... after a year navunja kibubu and surely nitakuwa na kitita cha kwenda chuo chikuu kubukua.
Kitaani kunazidi kuwa kugumu. Watu tunapumulia pua moja. It is now a time to embark on plan B. Maanake tusije mwishoe tukaanza kupiga watu ngeta na kuvizia hand bags za wadada mtaani.
Intention to join 'Lumumba Buku 7'... my plan B.
With due respect... I humbly submit.
-Kaveli-