Dkt. Abdallal Makame amesema Rais Mstaafu Mzee Alli Hassan Mwinyi anaendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa Madaktari Bingwa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,267
9,715
Ndugu zangu Watanzania,

Aliyekuwa katibu wa Rais mstaafu ndugu Dkt Abdallal makame amesema ya kuwa mzee Alli Hassan Mwinyi Rais mstaafu wa awamu ya pili ,Anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua chini ya uangalizi wa madaktari bingwa.

Amesema kuwa hakuna mipango ya kumsafirisha na kumpeleka nje ya nchi kwa sasa labda kama madaktari wataona kuna haja ya kumsafirisha na kufanya hivyo hapo baadaye kwenda nje ya nchi ,lakini kwa sasa ataendelea kupatiwa matibabu na madaktari wetu bingwa hapa hapa nchini.

Rai yangu Watanzania tuendelee kumuombea mzee wetu huyu apone na kurejea katika hali yake ya kawaida.Mungu amponye haraka na aendelee kumjalia na kumuongezea siku za kuishi hapa Duniani.ili hatimaye hapo mwakani aweze kutimiza miaka mia moja yaani karne moja tangia kuzaliwa kwake Tarehe 8-5-1925.

Itakumbukwa ya kuwa ni wakati wa awamu yake ambapo ndipo mfumo wa vyama vingi hapa nchini ulipoanzishwa ,licha ya kwamba wengi wa watanzania walikuwa hawaafiki na hawautaki mfumo wa vyama vingi ambapo 80% ya watanzania walisema wangependa tuendelee na mfumo wa chama kimoja.

Ni wakati wa utawala na uongozi wake ndipo kulipofanyika mageuzi makubwa ya kiuchumi,ambapo Secta Binafsi zikaanza kukua na kustawi,maisha ya watanzania yakaanza kuimarika, Watanzania wakaanza kumiliki mali nyingi tu binafsi na kuwa na haki ya kugombea nafasi za uongozi tofauti na hapo awali ambapo kuwa tajiri au kuwa na mali nyingi ilikuwa kitu au jambo ambalo lingekunyima nafasi ya kupewa uongozi au kuulizwa maswali ya umepata wapi mali zote hizo.

Uongozi wa mzee wetu Mwinyi ulileta uhuru wa kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na kila mwenye juhudi binafsi aliinuka kiuchumi na kumiliki mali na utajiri mkubwa bila hofu yoyote ile. Ni wakati wake hata mambo ya uwekezaji yaliongezeka sana hapa nchini,lakini pia serikali ilianza kujiondoa taratibu katika kufanya biashara na badala yake kubakia msimamizi ili kubaki na jukumu la kukusanya kodi tu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Aliyekuwa katibu wa Rais mstaafu ndugu Dkt Abdallal makame amesema ya kuwa mzee Alli Hassan Mwinyi Anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua chini ya uangalizi wa madaktari bingwa...
Halafu wewe kijana Mwashambwa pumbafu hata kama una taarifa nyeti Kuna ulazima Gani kuandika hata kama ziliongelewa wazi mbele ya vyombo vya habari vikaamua hizi taarifa tufiche tusiongee?

Juzi hapa vyombo vya habari vilificha Makonda kutotumia jukwaa lililoandaliwa wewe ukaibuka ohh Makonda akwepa jukwaa aliloaandaliwa kuhutubia ? Ulikuwa na lengo Gani wakati vyombo vyote vya habari vilikwepa kuripoti Hilo mshemzi wewe?

Sema Leo ilianzishwa mada ya kushughulika na wewe yenye Kichwa Lucas Mwashambwa iliumbua barabara kuanzia wewe nani Hadi nyumba unaishi namba yake nk moderators wakafuta

Unasikia wewe mshenzi wewe kama huna kazi tafuta shughuli ya kufanya mkimbizi haramu wewe unayeishi Tanzania

Uhamiaji hebu shughulikieni naye huyo mhamiaji haramu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Aliyekuwa katibu wa Rais mstaafu ndugu Dkt Abdallal makame amesema ya kuwa mzee Alli Hassan Mwinyi Rais mstaafu wa awamu ya pili ,Anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua chini ya uangalizi wa madaktari bingwa.

Amesema kuwa hakuna mipango ya kumsafirisha na kumpeleka nje ya nchi kwa sasa labda kama madaktari wataona kuna haja ya kumsafirisha na kufanya hivyo hapo baadaye kwenda nje ya nchi ,lakini kwa sasa ataendelea kupatiwa matibabu na madaktari wetu bingwa hapa hapa nchini.

Rai yangu Watanzania tuendelee kumuombea mzee wetu huyu apone na kurejea katika hali yake ya kawaida.Mungu amponye haraka na aendelee kumjalia na kumuongezea siku za kuishi hapa Duniani.ili hatimaye hapo mwakani aweze kutimiza miaka mia moja yaani karne moja tangia kuzaliwa kwake .

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Naona kijana Lucas mwashambwa umeamua na kuacha contact yako.

Kwenye uteuzi ujao, Nina hakika hutosahaulika!😁
 
Halafu wewe kijana Mwashambwa pumbafu hata kama una taarifa nyeti Kuna ulazima Gani kuandika hata kama ziliongelewa wazi mbele ya vyombo vya habari vikaamua hizi taarifa tufiche tusiongee?

Juzi hapa vyombo vya habari vilificha Makonda kutotumia jukwaa lililoandaliwa wewe ukaibuka ohh Makonda akwepa jukwaa aliloaandaliwa kuhutubia ? Ulikuwa na lengo Gani wakati vyombo vyote vya habari vilikwepa kuripoti Hilo mshemzi wewe?

Sema Leo ilianzishwa mada ya kushughulika na wewe yenye Kichwa Lucas Mwashambwa iliumbua barabara kuanzia wewe nani Hadi nyumba unaishi namba yake nk moderators wakafuta

Unasikia wewe mshenzi wewe kama huna kazi tafuta shughuli ya kufanya mkimbizi haramu wewe unayeishi Tanzania

Uhamiaji hebu shughulikieni naye huyo mhamiaji haramu
Wewe huna akili kabisa tena huna kabisa .Nasema tena wewe huna akili kabisa kabisa tena hujitambui hata kidogo.
 
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Umeanza Vizuri sana Mpaka nikapenda nikasema Yes! Leo Lucas Wa Juakali Mnyakyusa Kaandika kitu cha maana Lakini ulipokuja kuandika hii Umekosea ..
Kuna uhusiano gani kati ya Ulichoandika juu Na Ulichomalizia?
 
Kama naelekea huko wewe tayari umeshafika na ndiyo utakuwa mwenyeji wangu,ndiyo hivyo mtu ukipata wazimu hata huwezi kujitambua ,lakini ukweli wewe umeshadata
Kwa sasa naona hata ukipelekwa kwenye matibabu huwezi ukapona maana ukichaa umeshapanda kichwani mwako.ila mimi naendelea kukuombea sana mpaka upone maana kwa Mungu hakuna lisilowezekana.
 
Halafu wewe kijana Mwashambwa pumbafu hata kama una taarifa nyeti Kuna ulazima Gani kuandika hata kama ziliongelewa wazi mbele ya vyombo vya habari vikaamua hizi taarifa tufiche tusiongee?

Juzi hapa vyombo vya habari vilificha Makonda kutotumia jukwaa lililoandaliwa wewe ukaibuka ohh Makonda akwepa jukwaa aliloaandaliwa kuhutubia ? Ulikuwa na lengo Gani wakati vyombo vyote vya habari vilikwepa kuripoti Hilo mshemzi wewe?

Sema Leo ilianzishwa mada ya kushughulika na wewe yenye Kichwa Lucas Mwashambwa iliumbua barabara kuanzia wewe nani Hadi nyumba unaishi namba yake nk moderators wakafuta

Unasikia wewe mshenzi wewe kama huna kazi tafuta shughuli ya kufanya mkimbizi haramu wewe unayeishi Tanzania

Uhamiaji hebu shughulikieni naye huyo mhamiaji haramu
Hana taarifa yeyote nyeti
 
Back
Top Bottom