Waafrika uongozi umetushinda; huo ndo ukweli hatakama hatuupendi

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme.

Ukija kwenye maji mfano kwa Dar es Salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao wanasema tatizo ni umeme eti ni mdogo hauwezi kupush maji-kipindi cha nyuma walikua wanasema tatizo ni upungufu wa mvua safari hii mvua zimenyesha wameona wahamishe magoli.

Kuna mda tukubali hii nchi kama waafrika imetushinda kuongoza huo ndo ukweli hii ni total failure.

Hata ukija kwenye mpira timu zetu makocha wao wengi ni wazungu. Kwenye management waafrika ni changamoto hatuna maono.

Nchi ya haiti ilipata uhuru mwaka 1840's huko ila mpaka leo hakuna function government na ni maskini wakutupa, same kwa somalia nchi zote hizi ni za Waafrika.
 
Tumefeli kabisa, ndio maana Afrika kusini chama cha makaburu (DA) ndio chama kikuu cha upinzani kinashikilia majiji makubwa na maendeleo wanayaona.

Waliaminishwa ubaguzi ukiisha nchi itakua kiuchumi, cha ajabu wasauzi ni maskini zaidi sasa kuliko walivyokua chini ya makaburu!

Waafrika sijui tuna matatizo gani.
 
Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme

Ukija kwenye maji mfano kwa dar es salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao wanasema tatizo ni umeme eti ni mdogo hauwezi kupush maji-kipindi cha nyuma walikua wanasema tatizo ni upungufu wa mvua safari hii mvua zimenyesha wameona wahamishe magoli

Kuna mda tukubali hii nchi kama waafrika imetushinda kuongoza huo ndo ukweli hii ni total failure

Hata ukija kwenye mpira timu zetu makocha wao wengi ni wazungu
Kwenye management waafrika ni changamoto hatuna maono

Nchi ya haiti ilipata uhuru mwaka 1840's huko ila mpaka leo hakuna function government na ni maskini wakutupa, same kwa somalia nchi zote hizi ni za waafrika
Ngozi nyeusi haiwezi kujitawala. Ndio maana miaka 60 sasa hata sukari tu imetushinda!
 
aliweza kila kitu
Aaah kama kipi mkuu? Katika bajeti zake za miaka 5 hakuwahi tekeleza bajeti ya maendeleo yoyote kwa hata 70% sasa angewezaje!! Elimu bure ila walimu hamna wala maabara, flyover kibao huku wananchi hawana pesa. Wamachinga kawaingiza chaka kuwa kitambulisho kinakopesheka!! Alisema Tanzania ya viwanda ila mpaka anaondoka hakuna major industry ilijengwa!! Outcome ndio kila kitu sio uwekezaji tunaangalia matokeo sasa.
 
Umasikini ni akili.
Funga solar, chimba kisima au tengeneza reserve kubwa ya maji.

Naona kama kuna mkakati wa kulazimishana hatabtusiotaka tufe masikini.
Nachimbaje kisima nawakati nalipa bill ya maji na kodi kazi ya serekali nini isiwe inakusanya kodi au waje wang'oe manguzo yao na mita zao za luku ili tufunge solar

Unafikiri kila mtu ana-uwezo wa kuchimba kisima usiwe unajifikiria wewe fikiria na wengine
 
Sasa tusubiri miaka mingapi tena ili tatizo liishe wakati hayo matatizo yamekuwepo kwa sababu ndio husaidia wanasiasa kuingia madarakani.

Hata mimi ninatumia hizohizo, ila silalamiki wala silaumu maana nimeamua kutafuta mibadala ya kila huduma japo sijafanikiwa asilimia zote.
Kodi zangu nimekubali hasara hadi siku wakiona ni sahihi kutoa huduma kamili.
Sioni mbadala wa hiki kinachendelea na mtu mwenye kusudi la kutusaidia kutoka moyoni. Hii consistency ya miaka 60 naona ikidumu 60 tena ijayo.
 
Aaah kama kipi mkuu? Katika bajeti zake za miaka 5 hakuwahi tekeleza bajeti ya maendeleo yoyote kwa hata 70% sasa angewezaje!! Elimu bure ila walimu hamna wala maabara, flyover kibao huku wananchi hawana pesa. Wamachinga kawaingiza chaka kuwa kitambulisho kinakopesheka!! Alisema Tanzania ya viwanda ila mpaka anaondoka hakuna major industry ilijengwa!! Outcome ndio kila kitu sio uwekezaji tunaangalia matokeo sasa.
Nchi ilikuwa imeoza hii, kila nyanja ilikuwa ni shida, nyanja zote kulikuwa hakuna unafuu.

Uwajibikaji, nidhamu kazini, uzalendo, gharama ya maisha kushuka, umeme, miundombinu, uchukuzi, bandari n.k ni baadhi ya nyanja aligusa na matokeo yalionekana.

Huwezi kufanya vyote kwa miaka mi 5, kiukweli alijitahidi yule mzee pakubwa RIP.
 
Serikali inajenga reli ili watu wasafiri na biashara ifanyike Kwa ufanisi wanatokea kikundi cha watu Fulani wanaenda kuhujumu miundombinu ya reli Kwa kubomoa ili biashara ya malori iendelee kufanyika....hii ndiyo Akili ya mwafrica inapoishia
 
MuAfrika pasipo kuwa mkatili na ubabe hakuelewi, JPM hio siri aliitambua.
 
Back
Top Bottom