Uchaguzi 2020 Job Ndugai asema CCM inahitaji 2/3 ya wabunge ili tuamue chochote kinacholetwa na Serikali

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.

#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24

Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana.
 
CCM wanataka wabunge ambao kichwani ni weupe ,ili mradi wawe wengi ili ndiooo ziwe nyingi.
IMG_20200817_115323.jpg
 
"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.

#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24

Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana
Ikitokea hiyo ya Zanzibar kuwa kwaheri ya kuonana ndipo watakapojua kwamba kule kulikuwa na mapinduzi. Yale ya 2001 yalikuwa halindwa tu.
 
Hawawezi kuthubutu kuongeza muda, hata Magufuli alishakataa hiyo kitu, wanapenda kujaza bunge kwasababu tu ya tabia yao ya uroho wa madaraka.

Kweli kabisa. Kinyume na uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa uliolalamikiwa sana, sisi raia na jumuia ya kimataifa tulihakikishiwa kuwa huu uchaguzi mkuu utakuwa huru na wa haki na sasa tunashuhudia kwa macho yetu utekelezaji wa ahadi hiyo.

Kuna changamoto moja kubwa: uongozi unapojihisi kuwa umetengeneza maadui wengi basi hujawa na hofu kubwa ya mambo yanayoweza kutokea pindi wawapo nje ya madaraka.
 
"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.

#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24

Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana
Ndugai😁😁😁😁😁
 
Ndugai ameeleza dhamira ya baadhi ya viongozi wakuu wa ccm: kubadilisha katiba kwa manufaa binafsi. Hii ni ajali nzuri. Bila shaka vyama vya upinzani vimepata live kitu kikubwa sana kwa ajili ya kampeni yao. Maamuzi mengi bungeni hufanyika kwa simple majority (51%); mabadiliko ya katiba pekee ndiyo yanayohitaji kura 2/3 ya wabunge wote.
 
"Mimi kama Spika katika demokrasia ya Kibunge suala siyo ujuzi wa kusema na kupanga hoja, ni muhimu sana Wabunge wa @ccm_tanzania wakazidi theluthi mbili ya Wabunge wote ili tuweze kuamua jambo lolote linaloletwa Bungeni na Serikali yetu" - Spika Ndugai.

#UzinduziKampeniCCM https://t.co/qf2YzvUA24

Sasa naamini hizi figusu kumbe lengo wapate wabunge wa kwenda kubadili katiba na mtu kuwa rais wa milele na zanzibar ndio kwa heri ya kuonana.
Nami naliona hilo. Tangu Ndugai na Kessy waamue kutaja Magufuli aongezewe muda, sina hamu nao sana
 
Back
Top Bottom