Safari ya kuelekea uchaguzi imeanza, Dkt. Biteko, Awesu, Bashe, Ummy na Mchengerwa CCM tunawategemea mtuvushe dhidi ya Mapigo ya CHADEMA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa ila kiukweli CCM tutegemee ushindani na Changamoto za kutosha

Matatizo ya mtaani kwa sasa ni Umeme, Maji, Sukari, Bima ya Afya nk

Mawaziri niliowataja jitahidini mtuvushe hali si njema sana Hii ni Kwaresma Unafiki wa kisiasa tumeuweka pembeni
 
Bwashee mbona haujamtaja Makonda!? Si ndiye anayeeneza na kuliwaza watu huko kitaa!?
 
Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa ila kiukweli CCM tutegemee ushindani na Changamoto za kutosha

Matatizo ya mtaani kwa sasa ni Umeme, Maji, Sukari, Bima ya Afya nk

Mawaziri niliowataja jitahidini mtuvushe hali si njema sana Hii ni Kwaresma Unafiki wa kisiasa tumeuweka pembeni
CCM haijawahi kutegemea viongozi wake kwenye uchaguzi , mara zote hutegemea Vyombo vya dola , Polisi , TISS , JW , MGAMBO , na ziko Taarifa kwamba 2020 kwenye uchaguzi wa Zanzibar kulipelekwa Jeshi la Burundi
 
Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa ila kiukweli CCM tutegemee ushindani na Changamoto za kutosha

Matatizo ya mtaani kwa sasa ni Umeme, Maji, Sukari, Bima ya Afya nk

Mawaziri niliowataja jitahidini mtuvushe hali si njema sana Hii ni Kwaresma Unafiki wa kisiasa tumeuweka pembeni

Yah right. Kwa hiyo MKWE naye yuko kwenye Kinyang'anyiro ...!
 
Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa ila kiukweli CCM tutegemee ushindani na Changamoto za kutosha

Matatizo ya mtaani kwa sasa ni Umeme, Maji, Sukari, Bima ya Afya nk

Mawaziri niliowataja jitahidini mtuvushe hali si njema sana Hii ni Kwaresma Unafiki wa kisiasa tumeuweka pembeni

Tanzania hakuna uchaguzi Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
sasa hivi hakuna amsha amsha

Uchaguzi ulikuwa wa 2015

ulikuwa ni uchaguzi wa Usaliti

Lowassa alisalitiwa na Rafiki yake nae akakisaliti Chama chake na Rafiki zake wa damu wakamsaliti hawakumfata walipoahidi kumfuata

Mbowe akamsaliti Wilbroad Slaa kwa kumpata Lowasa nae Mzee Slaa akasaliti Chama chake

Lipumba nae akasaliti uamuzi wa Chama chake akakaa pembeni kabla ya kupiga U turn

Kwa kifupi Mbowe na Kikwete walisaliti watu wao wa karibu na watu hao wa karibu walasaliti vyama vyao

CCM na Chadema wote walikiuka taratibu na kanuni za vyama vyao

Wafuasi wa Lowassa walionuna kwa kukiukwa taratibu za CCM kwny kuteua Mgombea Urais walikenua kwa kuvunjwa kanuni za Chadema kwa kuteuliwa kwao
 
Chadema ni mbumbumbu na Majuha

Wanachosaka ni kupata ruzuku waendelee kulisha familia zao

Wabunge wengi wastaafu wa Chadema wanaishi maisha magumu sana mtaani hata kula tabu
 
Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa ila kiukweli CCM tutegemee ushindani na Changamoto za kutosha

Matatizo ya mtaani kwa sasa ni Umeme, Maji, Sukari, Bima ya Afya nk

Mawaziri niliowataja jitahidini mtuvushe hali si njema sana Hii ni Kwaresma Unafiki wa kisiasa tumeuweka pembeni
BILA KATIBA MPYA SIO UCHAGUZI NI UCHAFUZI TEUENI TU KAMA ALIVYOFANYA MAGUFULI
 
Back
Top Bottom