johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,018
- 142,058
Siyo kwamba nampinga au namkubalia Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu bali kauli yake inatafakarisha sana
Tundu Lisu anadai kwenye Bunge Maalumu la Katiba kuna Watu waliandaliwa kumdhoofisha Lowassa kisiasa, sijapata mantiki kabisa yaani Katiba mpya vs Individual Lowassa wapi na wapi?!
Ngoja niipitie Hii Katiba mpya ya KKKT Labda nitajifunza chochote maana hakuna Katiba mpya nyingine ya kuifanyia rejea hapa nchini
Nawatakieni Sabato Njema 😀