Hii Bus Terminal ya Arusha itakuwa kali kushinda zote Tanzania. Hongera Rais Samia, hongera Mrisho Gambo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,049
49,731
Baada ya kebehi na dharula za muda mrefu kwa Arusha kukosa Standi Kuu na Bora ya Mabasi ya Mikoani Hatimaye Mama wa Vitendo Rais Samia amewapa wana Arusha furaha.

Mamlaka za ujenzi zimetoa michoro na renders za Standi ya Mkoa wa Arusha Bondeni City.

Picha ni Kali na Zenye hadhi ya Jiji ambalo ni mwenyeji wa Afcon 2027.Sasa kazi imesalia Kwa wajenzi kuhakikisha renders mlizotoa Mnajenga hivyo hivyo maana **** mazoea ya kuonyesha picha Kali ila Mnajenga vitu vingine kama pale Ubungo interchange.

Screenshot_20240216-212932.jpg
Screenshot_20240216-212952.jpg

My Take
Mrisho Gambo ndio Mbunge ambae Kwa kipindi Chake Arusha Jiji imepiga hatua kubwa za Maendelea kuanzia alipokuwa RC Hadi Mbunge.

View: https://www.instagram.com/reel/C3aM3D1tRlG/?igsh=cWNrYWcyZXpjcWMw
 
Issue sio kujenga, issue ni usimamizi na uangalizi wakati wa operation.

Magufuri terminal IPO mbezi pale, lakini matokeo yake stand imehamia urafiki sasa.
Kuna wakati vile vyoo pale vinakuwa havina maji na mavyoo hayafai.
Walikurupuka kujenga bila consultation na wahusika.

Stand ya Arusha ni Kali hayo mengine ni Dalili za wivu 😆😆
 
Kwa ufupi sana- usisifie mradi wa serikali ya FISIEMU kabla haujakamilika.

NB-katazame michoro ya Flyover ya ubungo kabla haijajengwa na utazame kilichojengwa!!

Tanzania hatuna flyover so far,tuna road intersection
 
Samia sio Mwendazake ambae hakuwa na pesa
 
Samia sio Mwendazake ambae hakuwa na pesa
Kashindwa nini kutoa ruzuku kuua mfumuko wa bei ya sukari?!!

Kashindwa nini kudhibiti mgao wa umeme?!! Magufuli alimudu kuzima kabisa uhuni wa mgao wa umeme!!

Juzi wabunge wamesema wazi kwenye mabwawa ya umeme maji yanachepushwa yasiingie,tena ndani yabunge, wabunge wa kamati ya miundo mbinu- Samia kimyaa,kazi kiguu na njia,ushungi na jicho mdereko!!
 
Hakuna aliyeshindwa may huelewi hata sababu za mgao

Pili aliyeharibu mnyororo wa thamani wa Sukari ni Magufuli na ndio alipitisha sheria ya kipumbavu inasumbua Hadi Leo hii.
 
Duh tunajadili picha ya kwenye computer. Tusubiri tuone uhalisia
Kabla ya ujenzi huanza picha na michoro.Kwani huwa huoni sehemu za ujenzi pichwa za majengo au structures itakavyokuwa?

Mkandarasi ashapatikana baada ya tenda kutangazwa,baada ya mvua kukata ujenzi unaenda kuanza
Screenshot_20240124-071430.jpg
 
Back
Top Bottom