mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 889
- 707
Nadhani maamuzi magumu yanapaswa kufanywa na viongozi wakuu ktk Serikali zetu uswahiba na ukaribu na watuhumiwa nyangumi wa ufisadi ktk nishati ni kikwazo kikubwa sana cha maamuzi yenye tija Kwa watendakazi wa chini.Refer DOWANS,Richmond,Symbion,IPTL na sasa Gas.
Wafanyabiashara na matajiri waliopata mabilioni kupitia matatizo ya umeme hawawezi kuruhusu nchi iwe na nishati kujitosheleza.Ukaribu wao na viongozi waandamizi na wingi wa fedha walizokwapua na kupata kupitia dubious deals ni siraha Yao kubwa ya kumrubuni yeyote na popote..
Yawezekana wamerubuni na kudhoofisha miradi Mikuu ya uzalishaji umeme ili kupata Mianya na upenyo wa kufaidi cake ya taifa maskini Lenye wingi wa maskini licha ya utajiri wa rasilimali..
Tulivumbua gesi asilia mtwara yakasemwa na wanasiasa kuwa tumepata mwarobaini wa umeme..Mafisadi yakabaka mchakato wa uwekezaji na ujenzi wa miundombinu leo gesi si yetu tena..Imeuzwa na kuna familia chache Za watanzania wenzetu wanapata mapesa kupitia offshore accounts zao..Tunafaidika nini na uwepo wa gesi?Bomba la gesi limegharamiwa na serikali (Mkopo toka China)lakini ni Mali ya nani?
Wana mamlaka ya kumpigia DG yeyote,PS yeyote,Waziri yeyote,Kiongozi wa Chama yeyote na kutoa miongozo,ahadi na matamanio yao (Sera)..Wana nguvu haswaa..Hawapigi picha na viongozi buree..Hawagharamii safari zao pamoja na viongozi buree..
Matatizo ya umeme ni ya kutengeneza na wanufaika wakubwa ktk deals mbalimbali kimfumo..
Kama taifa yatupasa kusema inatosha kuzongwa na kurubuniwa Kwa tende,peremende na porojo Za mafisadi wanaojiona wazalendo wa Taifa Kwa faida zao binafsi na Koo zao..Tusikubali kuwekwa mifukoni na kuharibu uchumi pia kesho ya vizazi vyetu..
Tuna Uranium ya kutosha,Kwa nini tusifunge vinu vya Nyukria kupitia msaada wa RUSSIA,Germany,JAPAN..Tupate umeme wa uhakika?
Tuumie,Tuchukuie,Tuchukue hatua..Hawa wachache wanaotafuta nchi kila kukicha wanatuzodoa sana na wanatudharau sana ..Madini-Wapo,Gesi-Wapo,-Bandari -Wapo,..Hakuna sehemu hawapo..Tunabakwa