Kuna kipindi wasanii, viongozi wa dini na CHAWA wamewahi kuingia mara nyingi Ikulu kama sasa hivi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu.

Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?

Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
 
Hata sisi wauza Madafu tumeingia mwana
IMG_0259.jpeg
 
IKULU ni mahala PATAKATIFU....siojumba la Hovyohovyo....

The birds nest on specific position...rethink

By TILgt the university of Ganzo
 
Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu

Je huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?

Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
We kaharishe labda huo uvundo utapungua kichwani. Huoni hata haya kuandika huu upumbavu? Shame on you
 
Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu

Je huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?

Maskini waliopo kijijini wanapataje huu ukarimu? Je, si wakati sasa wa DC na RC kuwa na ukaribu kama huu wa kitaifa ili tuwafikie watu wengi zaidi?
Yes
 
Back
Top Bottom