Rais Samia amtumia Salam za kheri ya kutimiza miaka 11 Kitini Baba Mtakatifu Papa Francisco, amshukuru kwa kumualika Vatican!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,033
Rais Samia amemtumia Salam za kheri ya kutimiza miaka 11 ya Upapa Baba Mtakatifu Papa Francisco

Rais Samia pia amemshukuru baba Mtakatifu Papa Francisco kwa kumualika Vatican Mwezi uliopita

Source Ukurasa wa Rais Samia X

Ramadan Kareem

--
Kheri ya miaka 11 ya Upapa kwa Papa Francisko. Shukrani za dhati kwa mwaliko na wasaa wa kukutana na kuzungumza nawe mapema mwezi jana kuhusu uhusiano kati ya Vatican na Tanzania, mchango wa Kanisa katika ustawi na maendeleo ya watu, masuala ya kijamii na mjadala wa kudumisha amani ulimwenguni.

Samia papa.png
 
Uzuri ni kwamba Papa hana muda wa kusoma X. By the way Papa hajihusishi na nchi inayoelekea kwenye uchaguzi Mkuu mwaka mmoja mbele kuhofia ku-influence.
 
Back
Top Bottom