Nitawashangaa Wanawake kama Watashindwa Kumuunga Mkono Rais Samia Uchaguzi wa 2025 Kwa Juhudi anazofanya Kuwakomboa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,042
49,727
Kama alivyosema Jokate ni muda muafaka Sasa wanawake kuchagua mwanamke mwenzao sio tuu Kwa sababu ni mwanamke Bali Kwa sababu ana uwezo na ameonesha.

Toka Akiwa VP ,Rais Samia ndio Rais pekee aliyeweka juhudi kubwa na za dhati kuwakomboa Wanawake Kiuchumi na kiuelimu Kwa kuboresha mazingira Yao Kwa namna mbalimbali.

Rais Samia katika kuwanyenyua wanawake wenzake amefanya mambo mengi ,kati ya hayo ni kama ifuatavyo,

1.Ameanzisha kampeni ya kumtua mama Mzigo wa Kuni kichwani Kwa ku champion matumizi ya nishati safi ya kusikia.
-Baada ya kugundua mzigo walionao wanawake hasa Vijijini Rais ameamua kuja na sera ya nishati safi ya kusikia ambapo Hadi 2030 anataka 80% ya watu wawe wanatumia nishati safi,hapa ataweka ruzuku na kushusha bei ya gas Ili kuwasaidia wanawake

2.Amekuja na sera ya kumtua mama Ndoo Kichwani Kwa kusogeza maji karibu na makazi Yao.
-Hapa Samia ameongeza Bajeti ya maji mara 2 ya iliyokuwepo na kuanzia maelfu ya miradi ya maji mikubwa na midogo,mjini na Vijijini ili kuhakikisha Mwanamke hapotezi mda kutafuta maji.

3.Amewwkeza Pesa nyingi kuliko Rais mwingine yeyote kwenye sekta ya Afya hasa Mama na Mtoto.
-Kwa mda mfupi amejenga zaidi ya Vituo vya Afya 466,mahospitali zaidi ya 100 na kuhakikisha na kununua vifaa tiba vya kutosha kwenye Vituo vya kutolea Huduma za Afya Nchi nzima.Alipoanzisha tozo ya Miamala kujenga Vituo vya Afya alipingwa sana ila alilenga kumpunguzia Mama mjamzito kutembea umbali mrefu kutafuta Huduma za Afya.

4.Samia ameanzisha Shule maalumu za bweni za Wasichana(High School) Mikoa yote.
-Katika kuwainua Wanawake kielimu na kuwaondoa na mimba za utotoni,Samia Ametoa Pesa kujenga shule maalumu za Wasichana Mikoa yote 26 Nchi nzima Ili Watoto wa kike wasome mazingira tulivu.
-Aidha Kwa Mkoa wa Dar,shule zote za Sekondari zinajengwa mabweni.

On top of that amemwaga mabilion kujenga maelfu ya shule Za Sekondari na msingi Nchi nzima.

5.Akitambua kuwa Wanawake wengi wa Vijijini ndio Wazalishaji Wakuu,Samia ameongeza Bajeti ya Tarura mara 4 kutoka Bil.270 Hadi Bil.810 Kwa Ajili ya kujenga Barabara za Vijijini ili wanawake wakulima wafikishe mazoea Yao masokoni haraka.

6.Ameanzisha Kampeni ya Msaada wa kisheria Kwa Wanawake "Mama Samia Legal Campaign" Ili kutoa Msaada wa kisheria Kwa Wanawake na Watoto wenye Changamoto hizo.

7.Ameanzisha ufadhili wa Kimasomo Kwa Mabinti "Samia Scholarship" Lengo ni kuwainua viwango vya Juu Ili kuwa na washindani.

8.Ameimarisha mikopo Kwa Wanawake kuanzia vikoba Hadi Halmashauri

9.Amewateua Wanawake wengi kwenye nafasi mbalimbali za Uongozi egajaji,DC nk

10.Amekuwa Mlezi wa vikundi mbalimbali vya Wanawake eg Timu zao nk.

My Take: Kwa hayo Machache ni aibu Kwa Mwanamke kutomuunga mkono Mwanamke mwenzake ambae anapambana Kwa Ajili ya Watoto wa kike.

View: https://www.instagram.com/p/C4VGNqKKQfQ/?igsh=ajZlem12c3Zzbzlm

View: https://www.instagram.com/p/C4VaSAANPZh/?igsh=bHBucnNuZ3h1cWZt
 
Hakuna cha pekee anachofanya ndio maana nguvu kubwa sana inatumika kumfanya aonekane rais.
 
Mkuu mtaani mambo ni tofauti kabisa huduma vutuo vya afya ni mbaya,huduma ya maji hovyo umeme ni tatizo kama unavyoona maisha magumu kuliko kipindi cha jiwe mfumuko wa bei kwenye bidhaa muhimu lakini pia mwisho usawa katika kupata haki kisheria hapa hakuna alieweza mahakama na police kwa ujumla ni hovyo kabisa...
 
Imeshindikana Marekani, ndio iwe bongo? 😆😆
Kwani Marekani wamewahi kuwa na mgombea Urais Mwanamke? Marekani.ndio wanakupngaia wewe maisha?

Mbona imwezekana Uingereza,India, Bangladesh,Pakistan,Thailand,Sweden, Germany,Peru nk nk?
 
Mkuu sisi tupo mtaani tunaona watu wanavyo ishi mkuu tunajua bei za bidhaa zote mkuu tunaenda kwenye hospital za uma sasa sijui wewe unazungumzia wanawake wapi sasa ila huku hawamtaki kabisa
Nadhani wewe utakuwa una shida mahala, yaani bei ziwe chini Ili watu wazidi kuwa maskini ndio kugusa maisha? Upumbavu wa hivyo Samia hawezi kufanya Wala mtu mwingine mwenye akili unless ni yule mjinga ambae anataka watu Waendelee kuwa maskini.

Katika sehemu Samia amecheza basi ni hapa kwenye bei za mazao
 
Back
Top Bottom