Rais Samia asema fedha za korosho na ufuta hazijawabadilisha wananchi wa kusini, ataka wapewe elimu ya fedha badala ya ngoma kila kichochoro

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,830
Rais Samia amesema mikoa mingi yenye mazao ya biashara maendeleo yao yanaonekana ukipita barabarani. Rais Samia amesema hali ni tofauti kwa mikoa ya kusini ambako wanalima mazao ya korosho, ufuta na mbaazi.

Amesema mikoa hii wakipata hela ni ngoma kichochoro mpaka kichochoro, ametaka wapelekewe elimu ya fedha.
 
Hao watu wanajua kukata mauno balaa, halafu mbaya zaidi korosho zinaongeza manii kwa hiyo akimwagiwa kiuno chote kinakuwa cha moto na anapitiliza kumwaga mauno ya hatari.
 
Rais Samia amesema mikoa mingi yenye mazao ya biashara maendeleo yao yanaonekana ukipita barabarani. Rais Samia amesema hali ni tofauti kwa mikoa ya kusini ambako wanalima mazao ya korosho, ufuta na mbaazi.

Amesema mikoa hii wakipata hela ni ngoma kichochoro mpaka kichochoro, ametaka wapelekewe elimu ya fedha.
Ndugu zake na Lucas Mwashambwa hawa akili ni kucheka ngoma pekee
 
Fedha za mauzo ya korosho ni sawa na mishahara yetu kwa hiyo usitupangie matumizi ya mishahara yetu kama vile sisi tusivyokupangia matumizi ya mshahara wako wa kazi ya urais. Over!
 
Back
Top Bottom