Kuna usemi usemao" usilizunguke bomu, bali pita katikati yake mapema ili lilipuke mapema wakati huo, kukusaidia lisije kuangamiza watu wengi zaidi baadae ambao hawataliona iwapo litalipuka"
Maana...
"Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni...
Huduma ya usafiri wa ndege kwenda Mwanza imeimarika sana. Ndege zipo nyingi na zinatoa huduma masaa ishirini na nne kwa kupishana anagani.
Wageni wengi wanaingia Mwanza sasa hivi, baadhi ya...
Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au...
Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima...
Salaam Wadau,
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo katika mfumo wa Vyama vingi vya Siasa. Kwa maana hii, Wananchi wamekuwa wafuasi wa Vyama mbalimbali.
Baadhi ya Vyama vina ushawishi Mkubwa na...
Waasisi wa mambo ya Ukanda ni Chadema ambao walijikita kanda ya Kaskazini hasa Uchaggani na Arusha
Baadae Ukanda ukahamia Pwani ya Tanga hadi Mtwara
Sasa Ukanda umeota Mizizi Ziwa Victoria...
Wenzetu Kenya wamepata connection Toka Marekani na sasa Wamepeleka Mapolisi Haiti na kujiimarisha Kiuchumi
Nakushauri Bashe wasiliana na Waziri Anthony Blinken wa USA kuna fursa ya kupeleka mazao...
Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda.
Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika...
Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya...
Kwako Rais wetu, kiongozi shupavu na mwanamapinduzi wa kweli Mhe.Samia, ninakusalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nchi yetu katika vipindi tofauti katika awamu ya kwanza ya...
Kuna wafuasi wa CHADEMA shughuli kama hizi huwa wanazipenda sana, wanaweza kuingia uwanjani na jezi za Mamelodi au Al Ahly ili tu waingie kwenye mtanange wa sheria na Ndumbaro pamoja na Karia...
Salaam, Shalom!
Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote...
Tanzania ni moja ya Nchi Duniani ambayo imebarikiwa na kila kitu.
Tanzania imebarikiwa Madini ya kila aina, pongezi kubwa kwa Serikali na Wizara ya Madini kwa kuendelea kuwekeza fedha nyingi...
Taarifa zinaonyesha kwamba Nchini Tanzania leo zinafanyika Chaguzi kadhaa, za marudio, kutokana na nafasi kadhaa kuwa wazi, kwa sababu ya vifo pamoja na mambo mengine yaliyowatokea waliokuwepo...
Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA
ITACHUKUA muda kuelewa nini hasa kilichokikumba Chama Kikuu cha Upinzani nchini (CHADEMA) hadi kikashindwa kutatua mgogoro wa uongozi na hatimaye kuingiza...
Msingi mkuu alioujenga Maguful ni kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri
Wakurugenzi ndio Wasimamizi wa Uchaguzi
Wapinzani walilala usingizi wakati Shujaa anaujenga huu Msingi na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI- Mohamed Mchengerwa amesema Serikali inatambua changamoto za mradi huu.
Ameahidi mpaka ifikapo Mwezi September-Oktoba 2024 matatizo yote yatakuwa yamekwisha...
Mara kwa mara mzee Kikwete amekuwa akisema vyama vya Upinzani Siyo tishio kwa CCM na havina ubavu wa kuishinda kwenye uchaguzi mkuu
Kwenye kumuaga Hayati Mwinyi pale Uwanja wa Uhuru Mzee Kikwete...