Dkt. Mwinyi akiongoza kikao cha kamati maalum Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 20 Machi, 2024.

🗓️20 Machi, 2024.
đź“ŤKisiwandui.

IMG-20240321-WA0000.jpg
IMG-20240321-WA0001.jpg
 
Ngoja kikao kiishe,watakuja na maneno MATAMU,na ACT wataingia KINGI..

ACT amkeni,kwa siasa zenu hizo,CCM watatawala milele
 
Back
Top Bottom