Heche ataka Shirika la Tanesco livunjwe

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
"Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake".

"Asilimia karibia 40 ya umeme wetu unapotea ukiwa unasafirishwa, sisi (CHADEMA) tulipendekeza yawe makampuni matatu na pili TANESCO isiwe ndiyo pekee inazalisha umeme nchi hii ili ukiona hawakufai unahamia kampuni nyingine"- John Heche

20240225_142224.jpg
 
Na ndio ukweli wenyewe kasema, kukosa option kunawapa Tanesco viburi japo naamini siasa nayo imo sehemu kubwa kwenye hilo shirika.

Ttcl wako wapi?
Si unaona tunavyoheshimiana!

Magufuli aliimudu Tanesco sasa kaja kiguu na njia hataki hata kufariji raia wake (maji, umeme & sukari)

Hata hivyo acha mambo yawe magumu pengine watanzania akili inaweza kuwarejea wakafanya maamuzi sahihi siku 1
 
"Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake".

"Asilimia karibia 40 ya umeme wetu unapotea ukiwa unasafirishwa, sisi (CHADEMA) tulipendekeza yawe makampuni matatu na pili TANESCO isiwe ndiyo pekee inazalisha umeme nchi hii ili ukiona hawakufai unahamia kampuni nyingine"- John Heche

View attachment 2915911
Na mie nasisitiza Tanesco ipigwe nyundo isambae, tumechoka
 
"Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake".

"Asilimia karibia 40 ya umeme wetu unapotea ukiwa unasafirishwa, sisi (CHADEMA) tulipendekeza yawe makampuni matatu na pili TANESCO isiwe ndiyo pekee inazalisha umeme nchi hii ili ukiona hawakufai unahamia kampuni nyingine"- John Heche

View attachment 2915911Mmmh !
 
Sa

Sasa kama uongozi wa nchi umeshindwa kwanini tanesco ivunjwe? Fukuza aliyeshindwa.
 
Nilikuwa namsikikiza Dotto Biteko kuwa Umeme wa Bwawa la Nyerere unaingia kwenye Gridi ya Taifa ngoja tuone kama TANESCO wataendelea kukata kata.
 
"Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake".

"Asilimia karibia 40 ya umeme wetu unapotea ukiwa unasafirishwa, sisi (CHADEMA) tulipendekeza yawe makampuni matatu na pili TANESCO isiwe ndiyo pekee inazalisha umeme nchi hii ili ukiona hawakufai unahamia kampuni nyingine"- John Heche

View attachment 2915911
Hata Likivunjwa bila Ccm kuondoka hakuna mabadiliko.
 
Back
Top Bottom