Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,105
Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia.
Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais huku ikiipelekea nchi kukaa siku mbili bila Rais
Naomba kufahamu hao waliotaka asiapishwe ni wakina nani? Walitaka nani awe Rais? Kwa katiba ipi? Haiwezekani hao hao leo ndio Chawa wa mama? Wamebadili mawazo yao au wanasubiri kupambazuke?