Joseph Mungai
Chini ya uongozi wake huyu masomo ya biashara na kilimo yalifutwa kwa baadhi ya shule za sekondari, Physics na Chemistry ikafanywa kuwa kipindi kimoja halafu wizi au uvujishaji wa...
Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa.
Ni lile aliloagiza Rais Magufuli...
Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi...
Moja ya mambo yanaoangamiza mataifa mengi ni ukosefu wa viongozi thabiti kwani viongozi wengi hasa wa Bara la Afrika hupatikana kwa njia ya udanganyifu kama wizi wa kura, kunadi sera za uongo...
Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt...
BARUA YA WAZI KWA MRISHO GAMBO
Asalaam Aleykum, Mheshimiwa mbunge wangu wa Arusha Mjini, kwanza nikupe pole kwa majukumu ya kututumikia wananchi wa Arusha mjini na pia najua utakua umechoka kwa...
PROPAGANDA
Katika ulimwengu wa leo uliojaa habari na teknolojia, propaganda imekuwa moja ya zana muhimu zaidi za kuathiri mtazamo wa umma na maamuzi ya kijamii.
Propaganda, kwa njia zake...
Wengi wanaweza wasipende lakini ukweli halisia ni kuwa vyama aina ya CCM au watawala mmoja mmoja aina ya CCM huwa hawatoki madarakani kwa sanduku la kura.
Hivi vyama vya namna hii vina mtindo...
Ndugu zangu watanzania,
Siku zote naawaambieni watanzania wenzangu ya kuwa Mwenyezi MUNGU ndiye aliyempatia Rais Samia Urais ,ndiye aliyemuinua na kumfikisha hapo Alipo,Ndiye aliyempatia kibali...
Siku hizi wanasiasa na chawa wa CCM wakipanda majukwaani wanatumia muda mwingi sana kumsifia Rais Samia hata kwa mambo yasiyokuwepo hadi wanatia kichefuchefu. Utasikia "Rais katoa pesa kujenga...
Inaeleweka kuwa kuna baadhi ya wafuasi wa vyama au wagombea fulani hawana utayari wa kusikiliza wagombea au sera za vyama wasioviunga mkono. Hii ni kwakuwa, kwa namna fulani, ‘wamefunga ndoa’ na...
Naandika kwa uchungu mkubwa baada ya Mke wangu kufanyiwa udhalilishaji na huyu kijana mhuni anayeitwa MALIMA ambaye ni Polisi Jamii hapa Kata ya Nala.
Ni kijana ambaye anajiona yeye ni zaidi ya...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania BoT Emmanuel Tutuba amewataka watu wanaodai maisha ni magumu wafanye kazi kwani hakuna mwaka maisha yamewahi kuwa rahisi.
Gavana Tutuba ameelezea kwamba Hali ya...
Hello JF Members.
Tangu kuasisiwa kwa siasa za mitandaoni mwanzoni mwa miaka ya 2010 hakika ni ukweli usiopingika kuwa vyama vya upinzani hasa wachaga na chama Chao,kwakweli walitukaba koo...
Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu...
Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam.
Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate...
Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha...
baada ya kufanya tafiti yangu binafsi mimi kama mzalendo nimeona mawaziri wengi hawakubaliwi na wananchi hii inaonesha wananchi wengi hawaikubali serikali.
ikatokea ipigwe kura ya ndio kwa...
Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Kata ya Kasingirima, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwantumu Mgonja amemtangaza Mlekwa Kigeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika uchaguzi huo...
Kuna usemi usemao" usilizunguke bomu, bali pita katikati yake mapema ili lilipuke mapema wakati huo, kukusaidia lisije kuangamiza watu wengi zaidi baadae ambao hawataliona iwapo litalipuka"
Maana...