CCM imefanikiwa kuwashinda wapinzani kwa hoja mtandaoni

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Mar 15, 2017
1,403
954
Hello JF Members.

Tangu kuasisiwa kwa siasa za mitandaoni mwanzoni mwa miaka ya 2010 hakika ni ukweli usiopingika kuwa vyama vya upinzani hasa wachaga na chama Chao,kwakweli walitukaba koo kisawasawa na ukuzingatia chama chetu kilipitia mnyukano wa ndani.

Chama tawala tulikuwa na kashfa nyingi sana za viongozi wetu,wapinzani wakaanza kueneza uzushi usiofaa Mara zoote mitandaoni na kwa kweli wachaga wenzao walio kwa wingi mikoa ya kaskazini mwa Tanzania wakawaamini kwa uchache wao.

Majimbo kadhaa yakatuponyoka kwa nguvu yao mitandaoni,mwizi wa magari akaukwaa ubunge wa jimbo moja huko kaskazini,msela wa miondoko ya kufokafoka akapata ubunge nyanda za juu kusini na wavuta bangi wengi wa upinzani wakapata uongozi.

Hakika hayo yote yalitokea sababu chama tawala Tanzania kilikuwa na changamoto,pale tulipotulia tukaanza kujiunda na kuyafikia mabadiliko ya wakati,hakika mafanikio yalianza kuonekana.

Tumeendelea kupambana na wahuni waliokuwa wamejificha mitandaoni kwa muda mrefu sana,kuna wakati tulihisi kuchoka ,kutukanwa lkn askari wa CCM mtandaoni waliinuka na kusonga mbele na kuukaribia ushindi.

Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha hakika upinzani wakiwa chini ya mwavuli wa kanda ya kaskazini na kabila Lao (si wote) walianza kuchoka,kubuni mbinu za matusi waliyofundishwa na mpiga muziki na muhuni wa zamani na mfungua gets wa benki kuu.

Sasa rasmi Wanaccm tumekamata kona zote,wakina Idawa wameshika adabu yao,malisa anaandika kwa machale, mzee mwanakijiji amekula kona, Yeriko Nyerere bize na vitabu vyake vya kuigilizia,Meya Jacob amekuwa mtukanaji maarufu bila hoja,kwakweli wamechoka.

Nawahimimiza wanaccm wenzangu popote mlipo kuendelea kuibua hoja,kuzitetea na kuzisimamia,silaha yao ni kutukana lkn tuwavumilie na kuwahurumia wachaga na chama chao.

Niwatakie kwaresma na ramadhani njema.
 
Hello JF Members.
Tangu kuasisiwa kwa siasa za mitandaoni mwanzoni mwa miaka ya 2010 hakika ni ukweli usiopingika kuwa vyama vya upinzani hasa wachaga na chama Chao,kwakweli walitukaba koo kisawasawa na ukuzingatia chama chetu kilipitia mnyukano wa ndani.
Wahuni pia uzeeka.... :D :D
 
Hello JF Members.
Tangu kuasisiwa kwa siasa za mitandaoni mwanzoni mwa miaka ya 2010 hakika ni ukweli usiopingika kuwa vyama vya upinzani hasa wachaga na chama Chao,kwakweli walitukaba koo kisawasawa na ukuzingatia chama chetu kilipitia mnyukano wa ndani.

Chama tawala tulikuwa na kashfa nyingi sana za viongozi wetu,wapinzani wakaanza kueneza uzushi usiofaa Mara zoote mitandaoni na kwa kweli wachaga wenzao walio kwa wingi mikoa ya kaskazini mwa Tanzania wakawaamini kwa uchache wao.

Majimbo kadhaa yakatuponyoka kwa nguvu yao mitandaoni,mwizi wa magari akaukwaa ubunge wa jimbo moja huko kaskazini,msela wa miondoko ya kufokafoka akapata ubunge nyanda za juu kusini na wavuta bangi wengi wa upinzani wakapata uongozi.

Hakika hayo yote yalitokea sababu chama tawala Tanzania kilikuwa na changamoto,pale tulipotulia tukaanza kujiunda na kuyafikia mabadiliko ya wakati,hakika mafanikio yalianza kuonekana.

Tumeendelea kupambana na wahuni waliokuwa wamejificha mitandaoni kwa muda mrefu sana,kuna wakati tulihisi kuchoka ,kutukanwa lkn askari wa CCM mtandaoni waliinuka na kusonga mbele na kuukaribia ushindi.

Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha hakika upinzani wakiwa chini ya mwavuli wa kanda ya kaskazini na kabila Lao (si wote) walianza kuchoka,kubuni mbinu za matusi waliyofundishwa na mpiga muziki na muhuni wa zamani na mfungua gets wa benki kuu.

Sasa rasmi Wanaccm tumekamata kona zote,wakina Idawa wameshika adabu yao,malisa anaandika kwa machale,mzee mwanakijiji amekula kona,Yeriko Nyerere bize na vitabu vyake vya kuigilizia,Meya Jacob amekuwa mtukanaji maarufu bila hoja,kwakweli wamechoka.

Nawahimimiza wanaccm wenzangu popote mlipo kuendelea kuibua hoja,kuzitetea na kuzisimamia,silaha yao ni kutukana lkn tuwavumilie na kuwahurumia wachaga na chama Chao.

Niwatakie kwaresma na ramadhani njema.
Yaani nyie mkitukanwa si itakuwa mmepewa sifa kubwa sana? Yaani mtukanwe kwa lipi au kitisho gani labda?
 
Yaani kwako wewe kumtukana mtu ni kumpa sifa? NA si utovu wa nidhamu,nilidhani kumkosoa mtu ni bora kuliko kutukana,ila sishangai ndivyo mlivyofundishwa.
 
M
Umesema mnatukanwa, nikakuambia ww au nyinyi hata kuwatukana ni kama kuwapa sifa msiyostahili. Nyie tumewapuuza, kwanini tupoteze muda wa kuwatukana?
Mmetupuuza wewe na nani? Ongea wewe binafsi,au kama naongea na kundi la watu useme pia,CCM tumekamata mitandao kwa hoja si matusi.
 
Back
Top Bottom