Taifa linaloona Urais ni kupokezana vijiti baina ya wakristo na waislam ni taifa la wajinga

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,017
12,306
Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam.

Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam.

Mbaya zaidi wananchi wenyewe walivyo wapumbavu wanaona ni jambo la kufurahisha kila dini baada mihula kuisha huanza kufurahi kuwa zamu yao imefika kutoa kiongozi.

Nchi za kipumbavu kama za namna hii zilizojaza wananchi na watawala matahira hazitaweza kupiga hatua yoyote ya kimaendeleo zaidi ya kuendelea kukumbatia umasikini na ujinga kwa sababu zimejaza watu wajinga na wapumbavu.

Taifa la kijinga linalo ona uongozi ni kufurahisha wakristo na waislam pekee na sio kuleta maendeleo ni taifa lililo filisika akili na limejaza matahira sio wananchi wala watawala.
 
Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam....
๐๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐š๐จ๐ง๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐จ ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ค๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ก๐ข๐ฅ๐ข? ๐“๐ฎ๐ง๐š๐จ๐ฆ๐›๐š ๐๐ข๐ซ๐š ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฎ!
 
Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam.

Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam...
Hayo unayoyasema hapa wewe, ndizo kazi za CCM inazojivunia sana, na ndiyo maana tumekwama namna hii.

Ni lazima tuondokane na huu ujinga wa kipumbavu kabisa kwa njia moja au nyingine.
 
Rais wa kwanza ni Mkristo, alivyoondoka akapendekeza majina matatu yote Waislamu. Unamaanisha ndio alisababisha hivi
Kwani iliandikwa kwenye kitabu chochote kwamba iwe hivyo milele, hata kama ilifanyika hivyo kwa sababu maalum zilizoendana na hali ya wakati huo?

Na swali hilo hilo linaweza kuelekezwa kwa CCM yenyewe, hakuna popote ilipoandikwa kwamba nchi hii ni lazima iwe chini ya utawala wa CCM. Tutakapoweza kulivunjilia hili mbali, hapo ndipo Tanzania itaanza safari upya kabisa.
 
Wakati ule tulisemaje? Rais atakuwa Mkristu,let there be no misunderstanding. Na Magufuli akawa rais.
I regret that you bring up this subject.
Kwa sababu I consider it to be the greatest insult for the president now to be a Muslim.
Lakini makosa yalifanyika. Nguvu kubwa kupita kiasi ilitumika katika Uchaguzi uliopita. Atrocities wereccommitted ( na vijibwa vinataka kupendeza masters).
Kwa hiyo tulidhani tunampendeza Mungu,kumbe Mungu anatuuliza kwa nini nguvu kubwa kupita kiasi imetumika?
Kwa hiyo tukashinda Uchaguzi ambapo Wapinzani wakapata mbunge mmoja tu. We learn through mistakes. Katika huo Uchaguzi uliopita we were too clever.
 
๐๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐š๐จ๐ง๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐จ ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ค๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ก๐ข๐ฅ๐ข? ๐“๐ฎ๐ง๐š๐จ๐ฆ๐›๐š ๐๐ข๐ซ๐š ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฎ!
Nipeni mm nchi, niongoze mpk nifie madarakani
 
Kwani iliandikwa kwenye kitabu chochote kwamba iwe hivyo milele, hata kama ilifanyika hivyo kwa sababu maalum zilizoendana na hali ya wakati huo?

Na swali hilo hilo linaweza kuelekezwa kwa CCM yenyewe, hakuna popote ilipoandikwa kwamba nchi hii ni lazima iwe chini ya utawala wa CCM. Tutakapoweza kulivunjilia hili mbali, hapo ndipo Tanzania itaanza safari upya kabisa.
Ukituliza akili utaelewa kwanini nimemuuliza vile na kwanini hajajibu
 
Taifa? Taifa lipi?..
Hili ambalo Rais anahojiwa utaifa wake?
Lenye muungano wa kulazimisha?
Wapinzani madikteta wa vyama vyao wakidai wanapigania demokrasia ?

Hili ndo Taifa? Au mkusanyiko Tu wa watu kwenye kipande cha ardhi??
 
Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam.

Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam.

Mbaya zaidi wananchi wenyewe walivyo wapumbavu wanaona ni jambo la kufurahisha kila dini baada mihula kuisha huanza kufurahi kuwa zamu yao imefika kutoa kiongozi.

Nchi za kipumbavu kama za namna hii zilizojaza wananchi na watawala matahira hazitaweza kupiga hatua yoyote ya kimaendeleo zaidi ya kuendelea kukumbatia umasikini na ujinga kwa sababu zimejaza watu wajinga na wapumbavu.

Taifa la kijinga linalo ona uongozi ni kufurahisha wakristo na waislam pekee na sio kuleta maendeleo ni taifa lililo filisika akili na limejaza matahira sio wananchi wala watawala.
Una pwenti kwa sababu hii nchi ni ya watanzania japo wana dini ila siyo ya wakristo na waislam. Ni ukoloni wa kurithi na utumwa wa kujitakia
 
Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam.

Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam.

Mbaya zaidi wananchi wenyewe walivyo wapumbavu wanaona ni jambo la kufurahisha kila dini baada mihula kuisha huanza kufurahi kuwa zamu yao imefika kutoa kiongozi.

Nchi za kipumbavu kama za namna hii zilizojaza wananchi na watawala matahira hazitaweza kupiga hatua yoyote ya kimaendeleo zaidi ya kuendelea kukumbatia umasikini na ujinga kwa sababu zimejaza watu wajinga na wapumbavu.

Taifa la kijinga linalo ona uongozi ni kufurahisha wakristo na waislam pekee na sio kuleta maendeleo ni taifa lililo filisika akili na limejaza matahira sio wananchi wala watawala.
Wewe unaita ni upumbavu, lakini hicho sasa ndiyo kinaleta utulivu na amani iliyopo. Hadi mataifa jirani wanatamani. Yawezekana wewe ndiyo taahira ila hujijui
 
Back
Top Bottom