Tatizo sio CCM na wala tatizo sio mchakato wa uchaguzi yaani upigaji kura, tatizo ni wapiga kura wa vyama hivyo vya upinzani

Melvine

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
678
1,278
Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi mbali mbali za uwakilishi katika levo tofauti tofauti za chaguzi.

Demokrasia ni uwanja mpana na unakutumiwa katika sura mbali mbali kutokana na utofauti wa kanda na kiitikadi.

Turudi kwa Tanzania nchi yetu pendwa kwenye kipindi cha chaguzi mbalimbali na watanzania wa vyama tofauti tofauti.

Tatizo kubwa la wafuasi hawa na wanachama wa vyama vya upinzani ni kutokupiga kura siku ya uchaguzi. Hawapigi kula kabisa kwa wingi wao, hawama system nzuri na maelekezo yakuwaimiza kwenda, kushiriki na kupiga kura. Ilo nimeshuhudia na ninashangaa kwanini mpaka leo hii hali ni ile ile na viongozi wao hawastuki na kupigana nalo kwa nguvu zao zote.

Huwezi mkuta mfuasi/mwanachama wa CCM siku ya uchaguzi asiende kupiga kura.

CCM wana wenyeviti wa mashina katika kila mtaa na kila mtaa una shina la CCM, wapinzani wanaanza kupigwa bao hapo kwenye kura. WanaCCM wanapiga kura wote kwa wingi na tena kwa kuimizana kabisa na hii kazi inafanywaga na watu fulani fulani wa kwenye matawi kwenye kila mtaa.

Sitosema sana ila nachosema generally wapinzani hawapigi kula kabisa kwa wingi wao.
Haya nimeyashuhudia si mara moja au mara mbili katika chaguzi kadhaa.

Kwa leo naomba niishie hapo!
Ni maoni tu.
 
Sasa kwa nini tume huru ya uchaguzi bado inakuwa vigumu kukubalika??
 
Kwani ni akina nani huwa wanaiba kura ??😅🙏🙏🔥
 
2019 na 2020 Magufuri alionesha wazi wazi kuwa kuwa kura haina kazi ila mwamuzi ni yeye na wakapita wale aliokuwa amewakusudia kuendesha Serikali yake kama ambavyo alikuwa anajinasibu kwenye mikutano yake.
 
Back
Top Bottom