Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa.

Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha ya Kiswahili kuanzia elimu ya awali mpaka kidato cha sita.

Ni miaka minne inapita sasa.
 
Binti yangu analisoma,
Yupo darasa la tatu, na ana enjoy Sana...kila wakisoma lazima aje kunihadithia!! Nimeona impact yake...anatamanii Sana kujua zaidi juu ya Tanzania, nadhani kama likiendelea kufundishwa vizuri tutajenga Taifa la wazalendo haswaa!
 
Ni somo jipya au ni lile la zamani?
 
Tatizo hua hatuna ajenda za kitaifa badala yake hua tunasubilia rais aseme Kama ambavyo mawaziri hua wanasema eti ni maelekezo ya mh.rais kwahivyo magufuri alifariki mapema kabla hajaweka msukumo ko na wazo lake lilikufa siku ile ile.
Hatuna dira hata kdg tunaishi kwa matamko ya Rais
 
Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa.

Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha ya Kiswahili kuanzia elimu ya awali mpaka kidato cha sita.

Ni miaka minne inapita sasa.
Ccm imeyapuuza
 
Somo lipo na linafundishwa mwanangu yupo darasa la 3 analisoma na kitabu nimemnunulia cha TIE.
 
Tahasusi za sasa : DHL ,BBC ,KFC etc
Kwa hiyo hiyo KFC ni kiswahili ,French na chemistry 😂😂🤣🤣?
DHL -ni Divinity history na Language😂😂😂😂😂?
Hahahahaha ni vituko hakika ni kupatwa kwa mchengerwa
 
:D :D kama kuna KFC basi waweke Tahasusi MACDONALD ,na kama kuna BBC basi waweke Dochiwele na kama kuna DHL basi waanzishe tahasusi ya Fedex...mambo ni mengi sana.
 
Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa.

Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha ya Kiswahili kuanzia elimu ya awali mpaka kidato cha sita.

Ni miaka minne inapita sasa.
Kauli yake sio msaafu kwamba lazima itekelezwe. Hiyo historia haitakuwa na maa a yoyote maana bado tuna wimbi kubwa mno la upumbavu. Labda tungekuwa na somo la uzalendo hapo sawa, wapumbavu hushindwa kutofautisha kati ya uzalendo kwa chama na uzalendo kwa nchi. Wengi ni wazalendo wa chama hasa ccm
 
Hapo sijajua..maana dogo ndo yupo kwenye Ile system ya kuishia darasa la sita.
Hata masomo anayosoma ni tofauti na mwenzie wa darasa la 4.
Maybe wao ndo watapanda nalo....
Ahaa, kwa hiyo wana somo lile lingine la historia ya kawaida pamoja na hili la historia ya Tanzania?
 
Kauli yake sio msaafu kwamba lazima itekelezwe. Hiyo historia haitakuwa na maa a yoyote maana bado tuna wimbi kubwa mno la upumbavu. Labda tungekuwa na somo la uzalendo hapo sawa, wapumbavu hushindwa kutofautisha kati ya uzalendo kwa chama na uzalendo kwa nchi. Wengi ni wazalendo wa chama hasa ccm
Ili somo ni Bora kulko divinity na Islamic afu magufuri hakua mzalendo wa cham ndo maana watu wengi aliofanya nao kazi aliwatoa nje ya siasa na upinzani
 
Back
Top Bottom