Hongera Global Online TV kwa kwenda kimataifa katika Lugha ya Kiingereza

Inatakiwa media za Tanzania kuchangamka kimataifa badala ya habari kubwa kuhusu Tanzania ktk lugha ya Kiingereza kurushwa kutoka Nairobi na Johannesburg au waandishi wa vyombo vya nje waliopo Tanzania.

Waandishi na media zote za mtandaoni kama vyombo vya kina Paschal Mayalla, Millard Ayo, Wasafi Media, THA Bandari, TRC Reli TV n.k kama hamuwezi kuna watanzania wako vizuri ktk lugha ya kigeni muwatumie katika matukio muhimu na nyeti
 
Ref.Masoud Masoud....Nina uhakika hakuna anayeongea "English" fasaha kama huyu mwana habari.
 
19 March 2024
Dar es Salaam, Tanzania

A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES.

View: https://m.youtube.com/watch?v=3feP2dy0ZVg

Siku hizi wanatangaza hadi za Chadema.....wamefika mbali mno.

Chadema ni kama maji.

Ukitaka kufanikiwa toa ushirikiano nao.

Congrats Global Tv

Yule jamaa aliyezulumiwa pesa zake za ku print Tshirt za chama amewashtukia wanamtumia tu.
 
Bongo nline tvs hajatokea bado mtu wa kutengeneza content za maana, wengi ni udaku na maisha ya wasanii.
 
Back
Top Bottom