Siku Rais Samia akiandika kitabu cha Ushuhuda wa Maisha yake, Nchi yote itatetemeka

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Nawaambieni ukweli kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akija aamue kuandika kitabu cha Ushuhuda wa maisha yake, yaani yale aliyoyashuhudia, kuyaona kwa macho yake, kuyapitia na kupambana nayo kwa hakika nchi hii itatetemeka na kububujikwa machozi ya kumpongeza kwa ujasiri wake mkubwa wa kubeba na kuhifadhi kila kitu katika kifua chake na kusonga mbele kijasiri kama komandoo aelekeaye katika uwanja wa vita.

Ukisikiliza neno kwa neno kutoka kwa mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Venance Mabeyo unakuja kugundua mama yetu ameona na kushuhudia mengi sana. Ukisikiliza hotuba mbalimbali za Rais Samia zile za awali kabisa baada ya kuapishwa kuwa Rais wetu na Amiri Jeshi mkuu wetu, ukasikiliza baadhi ya mambo na maneno aliyokuwa anayasisitiza kwenye baadhi ya hotuba zake unakuja kugundua kuwa alifanya hivyo kwa sababu maalumu ambazo kama kiongozi hakutaka kuziweka hadharani,ila baada ya mazungumzo ya mkuu wa majeshi ndipo tumekuja kutambua kwanini alisema hivyo.

Kifua cha Mama yetu na Rais wetu na Jemedari wetu kimebeba mambo mazito sana,kimebeba siri nzito sana, kimebeba msamaha mkubwa sana wa kiwango cha mwisho cha mwanadamu, kimebeba ukomavu wa kiuongozi, uvumilivu wa kiwango cha juu sana cha mwanadamu, busara, hekima, unyenyekevu, utulivu, uungwana, utu, ubinadamu, subira, uvumilivu na macho ya huruma na moyo wa upendo pamoja na mikono ya kuachilia.

Mama ni mfano halisi na wa kweli ya maana ya kuwa kiongozi, ni mfano halisi wa mtu na kiongozi Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu. Mama ni kiongozi wa kuigwa ,kupigiwa mfano na mtu mwenye kibali na Kalama ya uongozi na aliye inuliwa na Mungu mwenyewe. Ni kiongozi asiye na visasi wala chuki wala kinyongo wala kuhitaji vita au mgogoro na mtu. Ni mlezi wa kweli na mama wa kweli wa Taifa letu aliyeinuliwa na Mungu kulilea na kuwalea watu wote kwa usawa na upendo. Angekuwa mwenye roho mbaya, chuki, hasira, kinyongo, jazba na visasi katika kifua chake kwa hakika kuna watu pengine wangejuta kuzaliwa Tanzania.

maana angefanya mambo ambayo angepata uungwaji mkono kwa watu wengi tu ndani ya mfumo na hata nje ya mfumo wa kiutawala. Lakini asante Mungu tumepata kiongozi mwenye Moyo wa kuachilia na kusamehe kutokana na kufundwa vizuri na kulelewa vizuri tangia utoto wake, lakini kubwa zaidi ni kwa kuwa hofu ya Mungu imemjaa kifuani pake na Mungu yupo pamoja naye na ndani yake. Uongozi ni Jalala ndio maana wasio viongozi tokea tumboni mwa mama zao na ambao hawakuzaliwa viongozi na kupewa vibali vya uongozi na Mungu, lakini wakajikuta kwenye viti vya uongozi huwa ni watu wenye visasi, chuki, vinyongo na makatili wakubwa sana .

Ambao kwao kukuumiza au kukuondoa Duniani au kutuma watu wakutese ,kukuminya,au kulipa visasi visivyo na msingi huwa ni mambo ya kawaida tu kwao. wasio viongozi kwa kuzaliwa na vibali vya uongozi ndani yao huwa hawana huruma wala msamaha wala uvumilivu na hawana dogo,hawajali machozi ya mtu wala hawana hisia za kuguswa na maisha ya mwingine.wao wanaweza kukuona mtu mwingine kama mbwa tu akatizaye mtaani. Kwao kukutangulizi ardhini ni suala la kawaida lisilo mnyima hata usingizi wala kumpa mawazo zaidi ya kuangalia cheo chake tu kuwa kipo salama.

Rais Samia ni Kiongozi na darasa tosha la uongozi kwa viongozi wanaotaka au kuwa na ndoto ya kuja kuwa viongozi wa juu. Hana uroho wala uchu wa madaraka, cheo na vyeo humfuata yeye na siyo yeye kuvisaka kwa jasho na Damu,ndio maana hamuumizi mtu kwa kulinda cheo chake,ndio maana anamsamehe yeyote yule bila kujali ukubwa wa kosa, hata anayemtukana matusi au kumzulia na kumzushia uongo humsamehe tu. Ni kiongozi mwenye Moyo safi, mikono safi na kinywa safi chenye kunena na kutoa maneno ya upendo na huruma.ni kiongozi mpenda haki na mtenda haki kwa haki.

Mungu ambariki sana Mama huyu mwenye moyo wa kipekee wa upendo,huruma , unyenyekevu na ukarimu. na aendelee kumjalia maisha marefu yenye heri, amani, furaha na baraka tele kwake na uzao wake wote. Mungu aendelee kuweka mkono wake wa ulinzi juu yake.uso wake uwe pamoja naye wakati wote.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

IMG-20240314-WA0016.jpg
IMG-20240315-WA0027.jpg
IMG-20240311-WA0004.jpg
IMG-20240309-WA0024.jpg
 
Lucas mwashambwa

1. Ukiulizwa kipi cha kwanza kwenye
maisha yako kati ya..
a) Raisi Samia,
b) Mungu wako,
c) Wazazi wako,
d) Familia yako na
e) Uteuzi wako.

Jibu ni .........?

Plz Kua tuu mkweli na mtiifu kama kingunge.
NOTE : Usijali kuhusu matumizi ya akili, kwa kulitambua hilo, Jibu la Swali hili halihitaji Akili,
Ni roho ya kibinadamu/kiimani au kidunia.

Najua majibu yanaweza yaka vary kutokana na locations ulipouliziwa swali mfano lumumba, Kanisani, nyumbani n.k, ila at least here be faithful especially in response to your current situation.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawaambieni ukweli kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akija aamue kuandika kitabu cha Ushuhuda wa maisha yake, yaani yale aliyoyashuhudia, kuyaona kwa macho yake, kuyapitia na kupambana nayo kwa hakika nchi hii itatetemeka na kububujikwa machozi ya kumpongeza kwa ujasiri wake mkubwa wa kubeba na kuhifadhi kila kitu katika kifua chake na kusonga mbele kijasiri kama komandoo aelekeaye katika uwanja wa vita.

Ukisikiliza neno kwa neno kutoka kwa mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Venance Mabeyo unakuja kugundua mama yetu ameona na kushuhudia mengi sana. Ukisikiliza hotuba mbalimbali za Rais Samia zile za awali kabisa baada ya kuapishwa kuwa Rais wetu na Amiri Jeshi mkuu wetu, ukasikiliza baadhi ya mambo na maneno aliyokuwa anayasisitiza kwenye baadhi ya hotuba zake unakuja kugundua kuwa alifanya hivyo kwa sababu maalumu ambazo kama kiongozi hakutaka kuziweka hadharani,ila baada ya mazungumzo ya mkuu wa majeshi ndipo tumekuja kutambua kwanini alisema hivyo.

Kifua cha Mama yetu na Rais wetu na Jemedari wetu kimebeba mambo mazito sana,kimebeba siri nzito sana, kimebeba msamaha mkubwa sana wa kiwango cha mwisho cha mwanadamu, kimebeba ukomavu wa kiuongozi, uvumilivu wa kiwango cha juu sana cha mwanadamu, busara, hekima, unyenyekevu, utulivu, uungwana, utu, ubinadamu, subira, uvumilivu na macho ya huruma na moyo wa upendo pamoja na mikono ya kuachilia.

Mama ni mfano halisi na wa kweli ya maana ya kuwa kiongozi, ni mfano halisi wa mtu na kiongozi Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu. Mama ni kiongozi wa kuigwa ,kupigiwa mfano na mtu mwenye kibali na Kalama ya uongozi na aliye inuliwa na Mungu mwenyewe. Ni kiongozi asiye na visasi wala chuki wala kinyongo wala kuhitaji vita au mgogoro na mtu. Ni mlezi wa kweli na mama wa kweli wa Taifa letu aliyeinuliwa na Mungu kulilea na kuwalea watu wote kwa usawa na upendo. Angekuwa mwenye roho mbaya, chuki, hasira, kinyongo, jazba na visasi katika kifua chake kwa hakika kuna watu pengine wangejuta kuzaliwa Tanzania.

maana angefanya mambo ambayo angepata uungwaji mkono kwa watu wengi tu ndani ya mfumo na hata nje ya mfumo wa kiutawala. Lakini asante Mungu tumepata kiongozi mwenye Moyo wa kuachilia na kusamehe kutokana na kufundwa vizuri na kulelewa vizuri tangia utoto wake, lakini kubwa zaidi ni kwa kuwa hofu ya Mungu imemjaa kifuani pake na Mungu yupo pamoja naye na ndani yake. Uongozi ni Jalala ndio maana wasio viongozi tokea tumboni mwa mama zao na ambao hawakuzaliwa viongozi na kupewa vibali vya uongozi na Mungu, lakini wakajikuta kwenye viti vya uongozi huwa ni watu wenye visasi, chuki, vinyongo na makatili wakubwa sana .

Ambao kwao kukuumiza au kukuondoa Duniani au kutuma watu wakutese ,kukuminya,au kulipa visasi visivyo na msingi huwa ni mambo ya kawaida tu kwao. wasio viongozi kwa kuzaliwa na vibali vya uongozi ndani yao huwa hawana huruma wala msamaha wala uvumilivu na hawana dogo,hawajali machozi ya mtu wala hawana hisia za kuguswa na maisha ya mwingine.wao wanaweza kukuona mtu mwingine kama mbwa tu akatizaye mtaani. Kwao kukutangulizi ardhini ni suala la kawaida lisilo mnyima hata usingizi wala kumpa mawazo zaidi ya kuangalia cheo chake tu kuwa kipo salama.

Rais Samia ni Kiongozi na darasa tosha la uongozi kwa viongozi wanaotaka au kuwa na ndoto ya kuja kuwa viongozi wa juu. Hana uroho wala uchu wa madaraka, cheo na vyeo humfuata yeye na siyo yeye kuvisaka kwa jasho na Damu,ndio maana hamuumizi mtu kwa kulinda cheo chake,ndio maana anamsamehe yeyote yule bila kujali ukubwa wa kosa, hata anayemtukana matusi au kumzulia na kumzushia uongo humsamehe tu. Ni kiongozi mwenye Moyo safi, mikono safi na kinywa safi chenye kunena na kutoa maneno ya upendo na huruma.ni kiongozi mpenda haki na mtenda haki kwa haki.

Mungu ambariki sana Mama huyu mwenye moyo wa kipekee wa upendo,huruma , unyenyekevu na ukarimu. na aendelee kumjalia maisha marefu yenye heri, amani, furaha na baraka tele kwake na uzao wake wote. Mungu aendelee kuweka mkono wake wa ulinzi juu yake.uso wake uwe pamoja naye wakati wote.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

View attachment 2939027View attachment 2939029View attachment 2939039View attachment 2939040
Wapumbavu hasa wewe watatetemeka. Hakuna mwenye akili kubwa atajali. Kila siku kusifu matapeli huoni kama ni mjinga na jinga la mwisho wewe . Hasara kwa nchi pumbavu kama wewe kuwepo. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
 
Back
Top Bottom