UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694


Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.

Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.

Kattanga.jpg
 
Kitendo cha kutengua uteuzi au nafasi ya Bashiru Ali Kakurwa kutoka nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi hadi kuwa mbunge ni kitendo cha kuonyesha kujali na kuheshimu utawala wa kisheria.

Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi haipaswi kukaliwa na mwanasiasa kama alivyo Bashiru Kakurwa.
 
Kongole kwako Dkt.Bashiru Ally kwa uteuzi wa Ubunge hakika hapo ulipo sasa ni swala la muda tu pengine tusishangae kusikia ukiteuliwa nafasi ya uwaziri , usidhohofike kutoka nafasi ya KMK hadi M.P

Na pengine wewe huenda ikawa ni miongoni mwa watu wenye bahati ambae nyota yake imeng'aa gafla ndani ya miaka 6 au 7 umeshika nafasi za juu kabisa za uteuzi.

Ukianzia KM CCM, KMK na sasa MP
Kongole mwanazuoni mtaalam wa sayansi ya siasa.
 
Back
Top Bottom