Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na Yanga nk vina wasemaji active msemaji wa CHADEMA Makene yuko wapi hasikiki kulikoni?
Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda mrefu yuko wapi. Chadema tuelezeni kwa nini hasikiki?