BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,712
- 6,507
Pale Hanang kuna maafa na ni kama imetokea landslide kutokea Mlima Hanang, nimeona maaskari wa FFU wakiwa wamevalia buti zao kana kwamba wanaenda kukamata waandamanaji eti ndio kikosi cha uokoaji, hawana vifaaa, hawana rainboot, haaana aina yoyote ya kufaa.
Raia wamebomokewa na nyuma, na mali zimeharibika, nilitarajia kuwe tiyali kuna helicopta ikiwa imesheheni, mahema,Maj ya kunywa, Mablanket na vyakula imeisha tua Hanang pale kutoa msaada. Nilitarajia pia basi kuwe kuna garu zingine njiani zilizo beba misaada zikielekea kule.
Lakini hali sio hivyo watu walio bomokewa na nyumba zao wanaambiwa wakajihifadhi kwa majirani hakuna msaada wa aina yoyote ule kutoka Serikalini hadi sasa zaidi ya pole, hakuna dalili za msaaada nchi haina pesa.
Tutarajie pole na masikitiko kutoka kwa watawala huku raia wakitaabika pale.
Nchi haina kikosi cha uokoaji kilicho tiyali wakati wowote kwenda sehemu yoyote ya nchi ndani ya Dakika 45 hadi lisaaa limoja, Hakuna Bajeti ya misaada ya kibinadamu kwa wahanga.
Wakati huo huo bajeti ya V8 mpya kila mwaka ni Billion 500, kule Dubai Serikali imeenda na watu 700+ watawala wamebeba wake, shemeji zao na watoto wao pia.
Raia tunapaswa kupaza sauti, na kukataa tawala hizi zisizo jali maisha ya Raia, Serikali imewekeza kwenye anasa tupu, pesa za anasa zipo za kutosha lakini hakuna pesa za misaada ya dharura, hakuna kikosi cha uokoaji wala vifaa.
Angalia hata ilipo zama ndege ziwa Victoria kule Bukoba, maafa yangeweza pungua kamakungekuwa na kikosi cha uokoaji chenye vifaaa kamili lakini haikuwa hivyo kabisa.
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 49
Serikali mfano maafa ziwani inategemea wavuvi ndio watoe uokoaji ilihali wao wakituma Wakuu wa wilaya kwenda kupiga picha pale.