Mbunge Musukuma: Tundu Lissu hatakaa akanyage kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,746
15,223
Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku alimarufu Dk Musukuma amesema alisikia kuwa Tundu Lissu anataka kwenda kwenye kaburi la Hayati Magufuli kumwombea na kumwambia namna ufisadi unaoendelea sasa hivi nchini ikiwemo kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika!

Dkt. Musukuma amesema kama mtu wa karibu na Hayati Magufuli na kama mwana familia ya Hayati Magufuli hawataruhusu hilo litokee kwani Lissu ametumia maisha yake kumtukana na kumdhalilisha Magufuli kwa tuhuma ambazo hana ushahidi wa kuwaonyesha watanzania hadi leo!.

Mbunge Musukuma amesema hataruhusiwa kwenda kunajisi kaburi la aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa nchi yetu hivyo abaki akiongelea hukohuko majukwaani.
 
Hakuna NO GO AREA ndani ya jamhuri yetu, wote hii nchi ni ya kwetu, je president Magufuli amezikwa kwenye private land?
 
Naunga mkono hoja.Uende kwenye kaburi la mtu uliemuita Dictator uchwara,na ukafurahia kifo chake.Ila Chedema bwana ni vilaza kweli kweli wakati mwingine,no Wonder mtu waliemwita Fisadi ndo akawa mgombea wao .Sisi wasukuma hatutakubali Lissu akanyage kwenye kaburi la Magufuli. Aache unafki.

..dhambi na uovu wa Magufuli kutuma watu wamuue Tundu Lissu hamuioni?
 
Ndiyo kazikwa nyumbani kwake.Sasa kama hauruhusiwi kwenda kwa mtu huwa unakwenda ?Kama kila sehemu kunaendeka nenda ikulu bila appointement uone.
Tatizo unaishi in a pithole country, wewe hujaona watu wakiwa ndani ya white house au union building?,elewa wakati nchi Ina heshima na adabu, nimecheza hide n seek mbele ya state house!,serikali ya chama chako imefunga ile barabara na kuzuia eneo la mbele ya state house, pamoja na yote hayo ,wanakufa!,na sijasikia tamko kutoka kwa mke wake (kisheria ndio mwenye uamuzi kwa sasa)kumzuia mtu yeyote anayetaka kwenda pale!middle class wa kitanzania ni shida
 
Kweli Lissu ni hamnazo Lissu singer yote ila linapokuja suala la Magufuli huwaga simwelewagi kabisa amuache apumzike kwa amani Hayati Magufuli
 
Back
Top Bottom