Viongozi wa Tanzania tangu Enzi za Nyerere huwa hawawezi kustaafu kabisa, Sumaye baada ya miaka 10 ya uPM akaenda CHADEMA kuongoza Kanda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,033
Sijajua kama mafao ni Madogo au tatizo ni nini

Kwa mfano Mzee Sumaye baada ya kustaafu Uwaziri Mkuu akaenda CHADEMA kuwa mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mbowe akawa Boss wake

Nadhani kwenye mitaala ya Shule liongezwe somo la Maisha baada ya Kustaafu

Mlale Unono 😀😀🔥
 
Back
Top Bottom